Kaka uko wapi???Kesho saa mbili usiku
for you singanojrWewe mzee tufanyie uungwana tumalizane na pasaka kwa furaha.
Kaka bado tunasubiriπ€Kesho saa mbili usiku
Mwenyezi mungu akulinde umalize pambano na wakuu wa milk ya Xia.Nitashusha mwendelezo karibia wote siku yoyote , kabla ya Iddi tushamaliza ngoja niweke mambo sawa
Mimi ni nafsi loho ya mnyama wa maafa (Catastrophy dragon π) kiboko yako.Tufanye mimi ndo Roma halafu wasomaji wote humu mtajigawa wengine muwe majini pepo majini watu, kina rose magdalena yezi lanlan bi wema edina n.k
Ni suala la muda nitakudhibiti tu.ππMimi ni nafsi loho ya mnyama wa maafa (Catastrophy dragon π) kiboko yako.
Ha ha ha bwana mdogo mi nimekuja kwenye hii galaxy kabla ya binadamu na majiniNi suala la muda nitakudhibiti tu.ππ
Sasa mbona walikufungia??Ha ha ha bwana mdogo mi nimekuja kwenye hii galaxy kabla ya binadamu na majini