Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

Huu mzigo hatari hii ni zaidi ya movie, hiki ni kitabu kinataupeleka kila nyanja ya dunia...china, japan,korea, marekani bingo, kenya Ruanda nk...ni ngumu sana kupredict nini kinafuata...hakika mwandishi umetutendea haki...Kongole kwako Singanojr big up...
 
Hii riwaya ni tamu balaa na Mkuu singanojr unajua sana unaiandika bila kutabirika kama tunavyotaka wasomaji watu walitegemea Edna kuliwa kimasihara lakini haitokei. Roma nae huyu jamaa sijui yuko vipi yaani ni zaidi ya jini. Tunasubiri uhondo Mkuu.
 
Daah kwel bana me nlitegemea mnyandui ila ndo ivo xema nn mwandishianajua
 
Oyaaaaa Bosss daaah[emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956] umetuachia uhondo Mkuuu[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Duh, story tamu sana hii, naona jinsi watu fulani wanavyoenda kuumbuka[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kuna mtu mmoja kitakachompaga atasimuliia [emoji3]
 
Roma si alishapiga huyo manzi kimasihara huko mwanzoni. Saivi anataka manzi akubali mwenyewe akiwa anajitambua
 
Roma si alishapiga huyo manzi kimasihara huko mwanzoni. Saivi anataka manzi akubali mwenyewe akiwa anajitambua
Sio kupiga tu, na bikra aliitoa Roma mwenyewe,,,, alafu hii stori buana. Ukiacha Neema mwenye mtoto, wengine wote kajamaa kakuta kitu sealed akakifungua yeye. Kale ka Donyi na kenyewe kidogo jamaa akafumue baharini kule kama sio kuvamiwa na wazungu wale πŸ˜…πŸ˜…
 
Hapo hamna kitu tajir Cheaters wapo wengi sana .. Jaribu Badlanders ni game safi sana au Lost Light
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…