Mwanangu nipo kabisa seat ya mbele...Kongole kwake Sir Hades SinganoJr. Goma linaenda vizuri sasa Roma kaamka muda si mrefu ataanza toa watu Roho maaana anaanza ku connect dot za Hades Mkubwa. Sasa SinganoJr unatuachaje weekend hii? Tupia hata Promo. Ila mjinga Roma anafaidi sana ana mademu kama wote alafu vyuma vitupu.[emoji28][emoji28][emoji28]Ako wapi mkuu Dadii [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kabisaaa yaniHongera sana mkuu kazi nzuri. Ila ungejitahidi kutoa ratiba ya kueleweka.....
Mkuu vipi mbona ulituahidi haitochelewa?haitokawia
InshaallahItaendelea wakuu nipo mbali na mashine tusubiri
mwanangu una roho mbaya kama mama wa kambo aliekuja kwa mume na mtoto wa kiume!Acheni kupenda kitonga nendeni wasap mlipie kazi kujiliza Liza hapa kama mademu mnataka vya bure mtaolewa kuweni makini
singanojr fanya hapa ndo mwisho wanaotaka walipie
Mnapenda vya bure mnoomwanangu una roho mbaya kama mama wa kambo aliekuja kwa mume na mtoto wa kiume!