Mwislam by choice
JF-Expert Member
- Sep 23, 2017
- 361
- 471
It’s j4 jaman
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂Mwamba ana damu inanuka vibaya huyu” Aliwaza
SEHEMU YA 156
Mwanaume aliekuwa mbele yake hakuwa mwingine bali alikuwa ni Fayezi, mwanaume ambaye siku kadhaa zilizopita aligombana na Roma baada ya kulala na mpenzi wake Amina, alikuwa ni Fayezi mtoto wa Tajiri maarufu kutoka Dubai wamiliki wa Emaar Corporation`s.
Kwa jinsi Edna alivyokuwa akimwangalia Fayezi , Alionekana kumfahamu mtoto huyu wa Tajiri mkubwa kutoka Dubai , lakini pia mrithi wa Emaar Properties.
“I didn’t expect Boss Lin to personally attend the event, have my warmest welcome”Aliongea Fayezi kwa Kingereza kwa kuweka tabasamu huku macho yake hayakuwa yakitoka kwa Roma , alikuwa akijiuliza ni uhusiano gani Roma alikuwa nayo na Boss Mrembo Edna.
“Huyu ni Fayez Moja ya Wahisani wakubwa wa maandalizi ya hili tukio n ani moja ya familia Rafiki na Mheshimiwa Kigombola”Aliongea Edna akimwambia Roma , lakini kwa upande wa Roma alikuwa akimfahamu Fayezi Vizuri, lakini hakujua kuwa familia ya Tajiri mkubwa kutoka Uarabuni ni Rafiki wa karibu na Familia ya Mheshimiwa Kigombola.
“Fayezi Asante kwa ukaribisho , huyu ni mume wangu anaitwa Roma Ramoni”aliongea Edna kwa kujiamini na kumfanya Fayezi kutoa macho,unajua licha ya kwamba alikuwa akimfahamu Roma kama mwanaume ambaye alikuwa na kisasi nae moyoni kwa kitendo cha kulala na mwanamke wake aliekuwa akimpenda hakuweza kudhania kuwa Roma atakuwa mume wa mwanamke mrembo kama Edna , hapo hapo kichwa chake kilijaa maswali mengi , aliamini kama Roma alikuwa kweli ni mume wa Edna basi hakuwa wa kawaida tokea siku ya kwanza wanaonana na ndio maana hata Amina akajirahisisha kwake, kwani baada ya siku ile kutoka pale , alijaribu kufuatilia taarifa za Roma Ramoni lakini hakuwa na taarifa nyingi ambazo amepatiwa Zaidi ya kujua kuwa Roma alikuwa ni mfanyakazi wa kampuni ya Vexto , lakini pia msomi kutoka chou cha Harvard, ambaye kabala ya kuanza kazi ndani ya kampuni ya Vexto alikuwa akibeba mizigo.
Roma alijikuta akijisikia furaha kwa namna Edna alivyomtambulisha kikawaida sana pasipo kuwa na kusitasita.
“Mr Fayezi naona umepatwa na mshangao kwa kuwa na mwanamke mrembo kama huyu dunia nzima”Aliongea Roma kwa namna ya kiuchokozi na kumfanya Fayezi amwangalie kwa sekunde kadhaa na kisha kutabasamu , wote walikuwa wakiigiza mbele ya Edna , Fayezi hakutaka kuonyesha kuwa anamfahamu Roma mbele ya Edna, kwani tukio la Amina na Roma hakutaka kabisa kulifanya lifahamike, Fayezi baada ya kuachana na Edna na Roma alimpa ishara mlinzi wake wa karibu amsogelee.
“Hakikisha unamchimba huyo mwanaume nje ndani, sihitaji taarifa nyepesi”Aliongea kwa kingereza.
“Sawa Boss”Aliitika Mlinzi huku Fayezi akirudisha macho yake kwa Roma aliekuwa akiongea na baadhi ya watu.
Moja ya watu maarufu waliokuwa hapo ndani ni pamoja na Mheshimiwa Kigombola , raisi mstaafu wa Tanzania , lakini pia kulikuwa na wasanii wakubwa tu waliokuwa wamehudhuria ,wafanyabiashara wakubwa , pamoja na wanasiasa, lakini mtu ambaye hakusahauliwa kualikwa alikuwa ni Yan Buwen.
Wanaume wengi walimwangalia Edna kwa matamanio lakini pia na wivu na chuki kwa Roma aliekuwa amemshikilia Edna , kuna baadhi waliokuwa wakimfahamu mahusiano ya Edna na Roma , hawakuyazoea kabisa, wengi walijiambia Edna ni mwanamke aliekuwa amechanganyikiwa na mapenzi na ndio maana akafia kwa mwanaume kama Roma, mwanaume asiekuwa na mwonekano wa kumiliki mrembo kama Edna.
Wageni walikuwa wengi hivyo ilikuwa ngumu kwa Edna na Roma kupitia kusalimia watu wengi , walichokifanya nikuchukua vinywaji vyao na kusogelea sehemu ambayo wamepangiwa kukaa.
Sasa wakari Roma amekaa pamoja na mke wake wakiwa wameshikilia Glass zao za Wine , mara walisogelewa na warembo wawili mapacha na hawa wanawake hawakuwa wengine bali alikuwa ni Mage na Magdalena, na wote kwa pamoja walichukua viti baada ya kusalimiana na Edna kwa bashasha, ukweli Roma hakupenda sana ujjio wa watu hao wawili kwenye meza yao, alionekana kutokuwa huru kiasi flani.
“Roma adui yako naona macho hayatoki kwako”Aliongea Mage kwa kuvunja ukimya na kumfanya hata Edna ashangae maneno ya Mage.
“Mage unamaanisha nini , Roma ana adui humu ndani?”Aliuliza Edna kwa mshangao na Mage alitabasamu baada ya kuona Edna hakuelewa,Mage alimwangalia Roma na kisha akatabasamu.
“Naona hujamwambia mkeo kuhusu Fayezi , leo nalipiza kisasi change hapa hapa”Aliwaza Mage
Ukweli licha ya Edna kujua kitendo cha Edna kulala na Amina mpaka kutuma mwanasheria kumtoa siku kadhaa nyuma , hakuwa akijua kama Roma alikutana na Fayez.
“Namzungumzia Fayez Edna nadhani unakumbuka lile tukio la Mrembo Amina”Aliongea Mage na kumfanya Roma aone Mage anamfanyia makusudi na ‘anachomoa Betri’ mbele ya mke wake.
Baada ya Mage kuongea hayo maneno , Edna alijikuta akikumbuka hilo tukio na kujikuta akianza kupandwa na hasira ila hakutaka kuzidhihirisha hapo.
“Wife hayo mambo yashapita , usimsikilize sana Mage , nitakuelezea tukio zima lilivyokuwa kama utapenda”Aliongea Roma kwa namna ya kujitetea baada ya kuona mabadiliko ya Edna.
“Huna haja yakunielezea , hayo ni matatizo yako , hata hivyo siwezi kukuzuia”Aliongea Edna akipotezea , lakini alijihisi kuumia hasa mbele ya marafiki zake wa utotoni.
Kama mwanamke alijisikia vibaya , maana kitendo cha Roma kulala na mchumba wa mtu mwingine , mpaka kupelekwa polisi , ilikuwa aibu kwa yeye kama mke wake na aliona kama marafiki zake walikuwa wakimcheka moyoni, licha ya kwamba mahusiano yao hayakuwa na uzito mkubwa , lakini bado watu walikuwa wakimfahamu kama mke wa Roma.
“Wife hupaswi kukasirika , najua matendo yangu yanaweza kukuumiza , lakini kukasirika kutakufanya uzeeke haraka”.
“Huna haja ya kujali uzee wangu…”Aliongea Edna kwa hasira na kunyanyuka kwenye hio meza na kumfanya hata Mage alielezea tukio zima ajione kakosea , hakutegemea mabadiliko ya aina hio ya Edna , Walinyanyuka wote kwa pamoja na kumsogelea Edna alieenda kusimama upande wa nyuma.
Ghafla tu Roma akajikuta kwenye meza yupo mwenyewe, unajua Roma muda mwingine alikuwa akifanya kile anachotaka kutokana na aina ya ndoa ambayo amefunga na Edna , lakini kwa jinsi hali inavyoonekana ni kwamba Edna alikuwa akianza kumpenda na hilo ndio aliogopa Zaidi, kwani kama hisia za Edna zikiwa za dhati zidi yake alijiuliza nini kitatokea kwa michepuko yake, na kwa jinsi moyo wake ulivyo alijiona kabisa hakuwa tayari kuacha mwanamke wake hata mmoja, alijikuta akinywa vilevi vilivyokuwa kwenye meza karibia vyote kwa dakika.
Lakini sasa wakati akiangalia kulia na kushoto , mara alisogelewa na wanaume wawili wa makamo waliokuwa wamevalia suti wote mmoja akiwa ni Shombe na mwingine alikuwa ni Mwarabu kabisa.
“Mr Roma naitwa Khatibu Omaar , nimepewa utambulisho wako kutoka kwa Ndugu yangu Fayez , na amenieleza kama wewe ndio mwanaume ulietembea na mpenzi wake”aliongea yule mwarabu ambaye amejitambulisha kwa jila la Khatib na Roma aliwaangalia hawa wanaume waliokuwa mbele yake , na kwa jinsi alivyowaona ni kama walikuwa hapo kivurugu.
“Mr Roma tunajua Maisha yako , ulikuwa ni mbeba mizigo kwenye Soko la Mbagala Rangi Tatu,hivyo acha kuonyesha dharau maana usione hapa watu wamejaa ukaona hatuwezi kukufanya lolote”aliongea yule Shombe na alionekana kuwa mswahili kutokana na namna ambavyo alikuwa akizungumza.
“Kwahio mnafikiri mnaweza kumfanya nini?:Ilikuwa ni sauti ya kike iliowafanya mabwana hawa kugeuka na hata Roma aligeuka na kumuona mwanamke mrembo aliekuwa hajaonana nae siku nyingi kidogo , alikuwa ni Neema Luwazo.
SEE YOU WIKIEND
NICHEKI WATSAPP 0687151346 NIKUPE UTARATIBU WA MWENDELEZO
😂😂yani we singanojr ***** nimekunyooshea mikono juu,Bebi hii Staili inaitwaje?”Aliuliza Nasra huku akionekana kukosa pumzi maana alikuwa amelemewa na utamu.
“Mh! Mimi hata sijui ila umekaa kipopo popo ,, itakuwa ndio Popo kanyea Mbingu”Aliongea Roma huku akiongeza spidi.
Mitano tena kwa mpwayungu village 😂Kuna wale wanakuaga wanatoa Lugha chafu Kwa mtoa mada mpaka anasusa lkn kwenye hii naona bado hawajafika. mpwayungu village na hadithi yake ya kidagaa mpk Leo kasusa
😂😂😂😂labda asirudi na anabahati hata kazima simu ningemtukana mpaka matusi ambayo hayajavumbuliwa bado”
Nyegekipururu ndio nini mkuu
Wikendi imefika mkuuSEHEMU YA 156
Mwanaume aliekuwa mbele yake hakuwa mwingine bali alikuwa ni Fayezi, mwanaume ambaye siku kadhaa zilizopita aligombana na Roma baada ya kulala na mpenzi wake Amina, alikuwa ni Fayezi mtoto wa Tajiri maarufu kutoka Dubai wamiliki wa Emaar Corporation`s.
Kwa jinsi Edna alivyokuwa akimwangalia Fayezi , Alionekana kumfahamu mtoto huyu wa Tajiri mkubwa kutoka Dubai , lakini pia mrithi wa Emaar Properties.
“I didn’t expect Boss Edna to personally attend the event, have my warmest welcome”Aliongea Fayezi kwa Kingereza kwa kuweka tabasamu huku macho yake hayakuwa yakitoka kwa Roma , alikuwa akijiuliza ni uhusiano gani Roma alikuwa nayo na Boss Mrembo Edna.