Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

Shida inakuja pale anapotoa ratiba za uongo hy ndo inakuwa miyeyusho coz ratiba ya jtatu,jtano na jmosi hazionekani
 
JAMAN tuelewe kuwa hajaajiriwa jamiiforums kutoa burudani na yeye anamajukumu yake kama wew ulivo akuwa busy tujitahidi kuwa na subila
Ni sahihi kabisa
Lakini kwani Kuna ugumu gan kusema Leo Niko busy, hakutakua na mwendelezo?
Wabongo wengi tunafeli sana kwenye kukeep appointments, hata kama inashindikana hatusemi ni mpaka tuulizwe!
Sasa hii ni mbaya, sio hapa tu jukwaani ...Hadi kwenye maisha halisi
 
hapo umenena....,..
 
Hahahha kuleta uzi huku jf haukuwashirikisha hivyo ata kutuma humu hapaswi kuwashirikisha
 
Duuh ! Noma. Hivi unadhani kuna fasihi bila hadhira ? Ukisema hajatushirikisha unakosea kwasababu kabla hajaanza huu uzi alitangaza kuhusu simulizi mpya ambayo ndo hii back then tupo kwa Roma Ramoni kwo alitushirikisha na hii ni moja ya kazi yake coz kuna watu wananunua wengine kwenye magrupu hao wote wanatokea hapahapa jf
 
Lakini kumbuka anahudumia hadhira ya za aina mbili mpo nyie wa free nq wale wa what's app wanaolipia, hivyo we kaa kwa kut3gemea huruma yako maana hakuna kitu unachangia zaidi ya kuburudishwa,,,,, starehe gharama kaka ukiona mtu anakuja kukupa starehe bure kuwa mpole usimkere,,,, na hili kuisha mpaka 2030..... Kwako singanojr
 
JAMAN tuelewe kuwa hajaajiriwa jamiiforums kutoa burudani na yeye anamajukumu yake kama wew ulivo akuwa busy tujitahidi kuwa na subila
Uko sahihi mkuu sometimes tunamlalamikia as iftumeingia nae Mkataba. Tusubiri tu atakapoleta ndo tutasoma hata akileta baada ya miez 6 sawa tu
 
Ahahahaha..sis wengine tunalipia hukooo kwenye group ila ni mwendo wa kalenda kama hiv tu 🤣🤣.
Ingawa tushafika mbali huko kwenye episode 90+
 
Lakini kumbuka anahudumia hadhira ya za aina mbili mpo nyie wa free nq wale wa what's app wanaolipia, hivyo we kaa kwa kut3gemea huruma yako maana hakuna kitu unachangia zaidi ya kuburudishwa,,,,, starehe gharama kaka ukiona mtu anakuja kukupa starehe bure kuwa mpole usimkere,,,, na hili kuisha mpaka 2030..... Kwako singanojr
Ayayaya yaah bhaghosha😅😅😅 hata ku comment pia ni mchango inamuongezea morali na kujua kile anachokifanya kinakubalika.so hatusemi kwa ubaya yy pia kuna kitu anakipata kupitia maoni yetu.
 
JAMAN tuelewe kuwa hajaajiriwa jamiiforums kutoa burudani na yeye anamajukumu yake kama wew

JAMAN tuelewe kuwa hajaajiriwa jamiiforums kutoa burudani na yeye anamajukumu yake kama wew ulivo akuwa busy tujitahidi kuwa na subila
Usemacho ni kweli kabisa ana majukumu,ila mwanaume anafaa kukaa ndani ya ahadi zake, to be a gentle man,si et lazima apost kila siku alizo ahidi, ila kama haiezekani anafaa kutuambia sisi mashabiki wake nasi tujihisi wa mhimu kwake,ila anacho tufanya unaeza hisi sisi si mhimu kwake.
 
Back
Top Bottom