Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe....una uhakika?Hatimae Roma ameonekana
Daah basi unainjoy tunavyotesekaHatimae Roma ameonekana
Leta mzigo wa kutosha mgosi.....Hatimae Roma ameonekana
Mbona haji sasa au ndo yupo antuchora tuHatimae Roma ameonekana
Anatuzoom tuMbona haji sasa au ndo yupo antuchora tu
Kama vipi acha ku post tuHatimae Roma ameonekana
Tusubirie tu....Nimeamka haraka haraka nikaja kwenye Uzi moja kwa moja
Au basi, ngoja tusubir
🤓🤓🤓 Duuh wabongo bwanaHuyu mwandishi kuna muda anakuwa mtu wa maana kabisa ila kuna siku anakuwa adiba wa kwa Mathiasi
🤐🤐🤐🤐🤓🤓🤓 Duuh wabongo bwana
Kama wamekufa aje asemeHuyu mwamba anaumwa au Hamza na Regina wameuwawa na Mzee tui la Nazi wondering siul