Simulizi ya kipelelezi: Document number 72 (Nyaraka namba 72)

Simulizi ya kipelelezi: Document number 72 (Nyaraka namba 72)

Tatizo mnaleta wenyewe kwa hiari yenu lakini mkiulizwa kama hivi mnaanza lawama.

Kama ulikuwa umefika mwisho basi ungesema.

Nb;Na hapa suala si nayachukuliaje maandishi, bali ni kazi km wengine walivyo na kazi zao. Kwa sababu hata mimi nikikupa kazi yangu uifanye hutaweza.

Naona ulikaa kimya kimtego kutafuta mtu aongee ili upate pa kuchomokea. Tutakuuliza tu hata ufanyeje! Hakuna haja ya kuleta story halafu unakaa mwezi ndiyo uje tena.

Kuna wengine waliacha kusoma story za humu.

But ulikuja kwa hiari na umeondoka kwa hiari , usitafute vimaneno maneno.

USHAURI

Unapoleta kazi yako ni bora ukasema nitaleta episodi kiasi fulani na baada ya hapo ni biashara.. Unatutafutaga ugomvi wewe.


HONGERA KWA KAZI NZURI NIMEZIPENDA KAZI ZAKO.
Ngoja nirudi Jijini nikacheze kamari. ASANTE na KARIBU!
tatizo wanafanya biashara,
yan analeta story kuwanogesha baadae anaanza habari za ukitaka mwendelezo njoo WhatsApp,
 
Mkuu let me be very clear to you: sijisikii na wala siileti kwa kujisikia.

Binafsi sijajua maandishi huwa unayachukuliaje ila maandishi ni biashara kama ambavyo wewe unawekeza nguvu zako kwenye kazi au biashara nyingine ila tupo kwenye taifa ambalo waandishi tunahesabika kama watu wa charity.

NB.
Sitaileta tena hapa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Bora umesema ukweli. Na lile lihadithi la Jiji la Kamati SILISOMI!
 
Punguza emotions mkuu.

Mpaka sasa bado tu unalo moyoni?[emoji28]

Ok mimi ni mwandishi uchwara, Happy now? Kama umeridhika basi move on mkuu, soma kinachokupa burudani otherwise relax.

NO HARD FEELINGS.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Dah mkuu nilijua umetupia muendelezo kumbe umeleta vijembe tu humu!!! 🤔
 
Back
Top Bottom