dong yi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 5,906
- 8,243
tatizo wanafanya biashara,Tatizo mnaleta wenyewe kwa hiari yenu lakini mkiulizwa kama hivi mnaanza lawama.
Kama ulikuwa umefika mwisho basi ungesema.
Nb;Na hapa suala si nayachukuliaje maandishi, bali ni kazi km wengine walivyo na kazi zao. Kwa sababu hata mimi nikikupa kazi yangu uifanye hutaweza.
Naona ulikaa kimya kimtego kutafuta mtu aongee ili upate pa kuchomokea. Tutakuuliza tu hata ufanyeje! Hakuna haja ya kuleta story halafu unakaa mwezi ndiyo uje tena.
Kuna wengine waliacha kusoma story za humu.
But ulikuja kwa hiari na umeondoka kwa hiari , usitafute vimaneno maneno.
USHAURI
Unapoleta kazi yako ni bora ukasema nitaleta episodi kiasi fulani na baada ya hapo ni biashara.. Unatutafutaga ugomvi wewe.
HONGERA KWA KAZI NZURI NIMEZIPENDA KAZI ZAKO.
Ngoja nirudi Jijini nikacheze kamari. ASANTE na KARIBU!
yan analeta story kuwanogesha baadae anaanza habari za ukitaka mwendelezo njoo WhatsApp,