Simulizi ya kipelelezi: Jiji la kamari (gambling city)

Simulizi ya kipelelezi: Jiji la kamari (gambling city)

Hivi GEREZA LA HAZWA naweza kuisoma wapi yotee? Maana nimeishia ukurasa wa sitini na sita kule Facebook, huku JF naona kuna vipande vinamiss, msaada please
 
Thanks ur Bro.....!!![emoji1545][emoji1545]
........... ulikuwaa Bora wakati wote...[emoji1614]
Najivunia kuwa mmoja wanaosoma
Riwaya zako

~~ Appreciate Bro.....!!![emoji1614][emoji1614]
Shukrani sana, Mungu atupe kheri mkuu [emoji122]

Appreciated
 
Hiii ni Kali na Aina yake Ila gereza la hazwa mmhh pale kuvunja rekodi
Hahahaha ile niliandika kama nimechanganyikiwa.

Moja kati ya andiko ambalo najivunia kuliandika kwa mkono wangu.

Hata kama nitachelewa vipi ila ile simulizi ni lazima nije kuitolea kitabu [emoji996]
 
Back
Top Bottom