Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

Mkuuu umeongea ukweli kabisa...mi nilienda hapo mwaka 2017...mazingira ya sasa yameboreshwa na eneo liko chini ya mwekezaji.
Pia tuliambiwa chanzo cha maji yake yanatokea mlima kilimanjaro via ardhini na hili lilithibitishwa baada ya kumwaga pumba kwenye kilele cha mlima kilimanjaro hatimae mabaki yake yalionekana lake chala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahhahaha
 
Si lazima lakini ni muhimu.
Na afya sana....
Ni kweli sio lazima ila ni good experience kama ya kung'oa jino bovu. Unafurahi likishatoka na ukipona. Ila kabla ukiwazia process unaweza kukubali uendelee na maumivu.

I was just in deep feelings, trying to understand the best part of it. Unfortunately most of the stories up there filled with hesitations and regrets. Life and Death...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…