Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

Hahaha hahaha hahaha
Sasa mmoja anasema tusubirie tuzae kwanza... Tukikufwa tuache alama... Yaani ni kukatishana tamaa mwanzo mwisho aki
Hahahhah huyo ameongea la maana sana hata mkikufwa muache kumbukumbu

Yaan aliyesema mzae kwanza najiona mm kabisa
 
Tunathibisha vp mkuu@yani mnadandia tren kwa mbele kuelezea stori za kufikirika ambazo mnataka tuziamini,wakati kiualisia ni chai tu

Sent using Jamii Forums mobile app
acha ujinga ww mtu kaleta habari kuwajulisha watu then ww unakimbilia eti ya uongo una uhakika gani kama ni ya uongo?heshimu mawazo ya kila mtu acha ujuaji ndugu sio poa kukatishana tamaa
 
Halafu unalia peke yako hakuna wa kukubembeleza
Ni kweli watu hufa!
Ila mie naamini nitaweza bwana! Hahaha hahaha nawaza tuu kama kulia ni kama kucheka daaahh mie navyojua kulia sasaa
 
Hahahhah huyo ameongea la maana sana hata mkikufwa muache kumbukumbu

Yaan aliyesema mzae kwanza najiona mm kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ndo alama yangu!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ndo alama yangu!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Alama yako mimi eenh
Ebu ngoja kwanza nianze kufanya mazoezi ya kupanda huu mlima huku nilipo

Ili siku ya basidei yako tukipanda huko nisije kukusumbua kabisa
 
Tunathibisha vp mkuu@yani mnadandia tren kwa mbele kuelezea stori za kufikirika ambazo mnataka tuziamini,wakati kiualisia ni chai tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nitajitahidi kupata picha mbili tatu nadhani utajua siongopi, sijadandia treni kwa mbele, stori ya huyu dada inamsisimua kila mtu na kama uliwahi kufanya tukio lolote linalofanana na hilo ni lazima ulikumbuke, nadhani hapa ndio mahali pake ungetaka stori kama hizi tuzitolee wapi? kama wewe huna tukio lolote unaloweza kushea hapa usikonde acha walio nazo wamwagike huwezi kuzuia mzuka wa matukio kama hayo, subiri picha ni kwa vile zipo katika mtindo ule wa kizamani wa picha za makaratasi mpaka ziskaniwe ningeshaziweka.
 
Back
Top Bottom