Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

Hapana wanyama wakali, hiyo iko Ukipanda mlima Meru, kwasababu uko ndani ya hifadhi ya wanyama ya Arusha.
Huwezi kupanda bila game rangers
Mkuu kuna kipindi tulizunguka nyuma ya mlima kule buffalo camp hadi pofu kuna manyati ni aje...
 
Hapa Ndipo nilipokuwa napasubiri. Huu Uzi umenifanya nisitoke JF Tangu Mwaka Jana Mwishoni. Hongera HOE. Nipo kwenye Plan za kuupanda siku zijazo. Nitakucheck unipe ABC. Kwa hiki ulichotupa hapa!!!Giiiiirl!!!You Deserve an Accolade. Bravo[emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha baridi ya huko Gilimans point -20ºc. Sisi tulikuwa tunakohoa mumu kea mumo hiyo ni 1972
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani hii story yako ingeunganishwa yoooote usome mwanzo mwisho, lakini kukufuatilia thread to thread kutafuta wapi umeandika tunapitwa na mengi, sio rahisi kusoma comment 900 za watu wote kwenye uzi.
Maxence Melo unanisheni hii story

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia posts 1-4 mwanzoni mwa thread.

Naamini tumefanya kitu sahihi
 
Amen

The JF 2018 hero Ms Heaven on Earth.

Just curious: hivi kuna guides wa kike ili nikipanda awe ananifariji?[emoji41][emoji41][emoji4][emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…