Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

Je, mlikula nyamapori, mana mi natamani sana nyamapori kamazipo I swear I will try my best.
Likizo ya mwakahuu nikijaaliwa napanda.

Hongera sana daah najiskia mnyonge sana natamani ningekuwa mimi ila I keep my promise.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heaven on Earth asante sana.

Nimesoma safari yote, ila kuna kawivu kananijia kwa Fred!

You are so appreciative, lovely and caring.

Happy New Year.
I wish Fred awe anaijua na kuingia JF
Mimi niliapa sitakuja kurudia tena kupanda mt Kilimanjaro ila kwa hizi sifa za Fred nitarudi tena aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I wish Fred awe anaijua na kuingia JF
Mimi niliapa sitakuja kurudia tena kupanda mt Kilimanjaro ila kwa hizi sifa za Fred nitarudi tena aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].......

Sent using Jamii Forums mobile app

Yaani nimeitamani kazi ya Fred ghafla, kaingia moyoni moja kwa mojaaaaa.

Yeye kufanya tu kawaida maskini, kumbe kagusa moyo wa mtu.
 

Hongera sana mkuu and thanks a lot.

Ila bado nawaza ningekuwa frank mimi,sijui ingekuwaje[emoji28][emoji28].
 
Mimi niliupanda mlima Kilimanjaro 1972 tulikuwa vijana tunasoma Marangu ualimu na tulikuwa tumetoka JKT.
Na vi combat vyetu vya Jkt tuka attempt kupanda poorely equiped tulipopita kidogo Gilmans walitushauri tusiendelee sababu ya nguo tulizokuwa nazo.
Gilmans ilikuwa -20ºC. Raha iko katika kushuka una slide kama unavyoona michezo ya kwenye barafu break matako yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni nzuri,ingekuwa mwezi wa 6 ningejoin.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…