Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

Unatugharamia weyeeeee
 
Heaven on Earth asante sana.

Nimesoma safari yote, ila kuna kawivu kananijia kwa Fred!

You are so appreciative, lovely and caring.

Happy New Year.
Hahahaa. Hata mimi mkuu kunakitu nimehisi maana Fred kamwagiwa sifa mnoo hadi kawivu kameniingia sio siri . nimetamani niwe porter 😀 😀 😀 😀

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waooooo.....na hon
Waooooo. Sina cha kusema ila natamani wangekuona jf HOE ni dhahabu naomba ichujwe vzr
 
Waoooo natamani uandike kitabu watu wa utalii mchukueni huyu mtu!!!!anafaaaa
 
Heaven on Earth unapoifupisha kama HOE inaleta ukakasi kwa sababu ni slang mbaya sana mitaani huko. Vinginevyo umeongea jambo la msingi sana. Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
I wish Fred awe anaijua na kuingia JF
Mimi niliapa sitakuja kurudia tena kupanda mt Kilimanjaro ila kwa hizi sifa za Fred nitarudi tena aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].......

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi natafuta guide wa kike...
Kwavile wewe ulishapanda naomba uwe guide wangu.[emoji4][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah story ilikua tamu sana ila Freddy amekuja kuharibu hapa mwishoni hamu yote imeniisha aseeee...
Ngoja namimi nikawe Porter.. Utakuja lini tena kupanda mlima nataka tukutane nifanye zaidi ya Freddy..


Freddy upo wapi baba...??

Ila dada HOE tuseme tu ukweli ukikutana na Freddy hotelini lazima umpe papuchi...achumani chi ntu
 
Nilisubiria sana
 
Asante sana. [emoji120]

katika kundi la ma guide wetu alikuwepo mmoja tu jina lake Rehema... Halafu she is very young & strong.
Last episode imenifanya nilengwe na chozi hasa hiyo habari ya fred.

Huwa najisikia poa sana kupata marafiki katika mazingira kama hayo,hapo ndio hupatikana marafiki wa kweli.

Ngumu sana mtu kupretend upendo kwenye nyakati ngumu za maisha.

Nikisema mwaka huu nitapanda nitakua muongo,ila nitaanza na hii milima iliyopo sehemu naishi ila magufuli hataachi nchi 2020 kabla sijapanda Kilimanjaro.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafis nimelejisikia furaha Sana kwa kitendo Cha kuwatuza hela hao maguide aisee wamefanya kitu kikubwa na kizuri Sana Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…