HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatugharamia weyeeeeeNimemaliza kupanda ml. Kilimanjaro kwa hisia na maandish haya ya mdada mleta mada amenihamasusha japo wazo lilikuwa of ila sikujua Lin ntauoapanda japo nipo karibu na huo mlima, binafsi nimeamua nitapanda mwez wa tatu na wanane naanza na machame route namalizia na marangu route kwa mlio tayari kwenda kwa mwezi March tujiogarnize tuweke nia kabisa J'mos ntaenda Moshi au marangu kabisa kujua cost halisi na vigezo na masharti kwa mlio tayari tufanye Kama unajikuna hv tuone itakuaje.
SIPOKEI KIASI CHOCHOTE CHA PESA KUTOKA KWA MTU KWANIA YA KUCHANGISHA ILI KULIPIA BALI NAPOKEA MIALIKO SERIOUS KWA AJILI YA TOUR HII
Heaven on Earth, unaeza kutujazia nyama kidogo za kampun nzur zinazotoa huduma nzuri naamini Kuna kampun uliziona zinatoa huduma mbovu au nzuri kuliko hyo uliotumia naomba kuwasilisha Alie tayari tujijue mie napatikana Arusha.
Hahahaa. Hata mimi mkuu kunakitu nimehisi maana Fred kamwagiwa sifa mnoo hadi kawivu kameniingia sio siri . nimetamani niwe porter 😀 😀 😀 😀Heaven on Earth asante sana.
Nimesoma safari yote, ila kuna kawivu kananijia kwa Fred!
You are so appreciative, lovely and caring.
Happy New Year.
Waooooo.....na honSAFARI YA KUSHUKA MLIMA..
![]()
Kule juu hatukuchukua muda tulianza kurudi kutokana na hali ya hewa kuwa mbaya.. Nilikua nimechoka saaaaana. Tukatembea weee hadi tukafika Gilmans. Uzuri wa kushuka ni unaenda straight hakuna mambo ya kusema upite zig zag mle mle katika njia unapita tu.
Nilivyofika Gilmans nikaanza kushindwa kutembea miguu ikagoma kabisa..nikitembea dakika moja nyingi naishiwa nguvu nasimama au nakaa. Huo muda Fred alikua ameshashuka chini kwani yule mwenzetu niliemuacha nae aliishia Stella so alimrudisha chini. This time nikawa ma guide mmoja mtu mzima anaitwa Moses no comment on him but... Nikamkumbukaje Fred hapa angekua ananibembeleza![]()
Nikaanza kulia.. kushuka ni rahisi ila mimi nilikua nimeishiwa nguvu. Kuna muda nilikua nakuangali kule juu najiuliza hivi mimi niliwezaje kupanda juu halafu hapo najisemea hata unipe bilion moja hunirudishi huko juu mimi...
mzee Moses ananisisitiza nijitahidi nishuke ananiambia Kibo ni pale tunafika sasa hivi wewe jitahidi..Na kweli naona vibanda vilee najipa moyo mwenyewe nanyamaza then naendelea kutembea.. Nikitembea kidogo nachoka nakaa tena naanza kulia. It was a mixed feeling... halafu pia nilikua nimeikumbuka familia yangu.... Tukipishana na watu wananipa pole kama zote.... Nikaishiwa nguvu siwezi kutembea mwenyewe so akawa ananishikilia ndio naweza kutembea.... Tumeshikizana wee Kufika sehem I couldn’t walk at all yaani hata kusimama mwenyewe nikawa siwezi... Hata nikijaribu vipi nashindwa.... ilikuja stretcher kunibeba na kunirudisha Kibo.
Wakati tunaelekea Kibo nilishangaa porters wengi wanapanda kuelekea mlimani. Nikawa najiuliza hawa jua lote hili ndio wanaenda kupanda Mlima nikauliza akanambia wanaenda kupokea watu wanaotoka mlimani. Wengine ndio hao wanarudi na hali kama ya kwangu.
Ukifika Kibo yaani wanakuhudumia vizuri hapo.. Nikapewa chai.. mara soup ya moto.. Tukaambiwa tupumzike kidogo tukiamka tunaanza safari ya Horombo. Ngoma hailali. Nikamuwazia yule mzungu aliefariki.. Nikasema silali wala nini nitakaa macho hadi hiyo time ya kurudi Horombo.. Nisije kufia usingizini. Ila Chezea usingizi na uchovu nilikuja kushtuka naamshwa nikale.. I wish niweke picha moja niliyopigwa wakati nimelala... I was half dead.. chakaram.
ku pack vitu was a headache.. Na ilitupasa tufanye haraka maana hizo domitories kuna wageni wengine walikua wamefika so inabidi waingie.. Saa 8/9 tunaaza safari ya kurudi Horombo.. Usingizi ulinisaidia sana huku nilikua poa njiani tunapiga story kwa saaana na wala sikua na uchovu mkubwa sana.. Rohoni kwangu najisikia safiii. Horombo nawahi kufika mapema kushinda hata wale wengine..Kuna baadhi ya watu walienda kuoga mimi sikuoga wala nini.. Nilisema hadi nifike mjini.. I want hot shower nikae hata lisaa bafuni.
Horombo tunalala then kesho asubuhi inaanza safari ya kurudi Marangu getini. Kabla hatujaondoka hapo Horombo tuliimbiwa nyimbo nadhani kama ni utamaduni fulani.. Nili enjoy saana zile nyimbo.. tukacheza pale.. Mimi na wenzangu 3 tulirudi Marangu getini na ambulance. Asubuhi ile Guide kama kuna mtu katika watu wake hayuko vizuri kuna gari linakuwepo for emergency kuwarudisha getini.. So wengine wanatangulia kwa miguu sisi tunabakia kusubiri gari...
Katika Ambulance kuna waarabu fulani ambao niliwakumbuka vizuri wakati wa kupanda kuanzia Mandara tulikua wote benet.. nao wanarudi kwa ambulance na mchina mmoja. Wale waarabu wa 4 they told us kwamba only 1 of them was able to reach the peak.. huyo mwanaume wale wadada hawakufika.... Mmoja wao alikua anatapika saana... alikua analalamika kuumwa... walituambia wametokea UAE.. Kurudi na gari was another experience..
Ile asubuh tulipoamka Horombo ndio tulianza kushangaana sura zetu
ni pua zimebabuka... ngozi haiko sawa.. ukimuangalia mwenzako unaweza kujiona wewe una afadhali na mwenzako nae akikuangalia anajiona yeye ana afadhali.. Sisi ndio tunakua wa kwanza kufika tunasubiria wenzetu waliokuja.![]()
Final Goodbye na Porters
Tunapata wasaa wa kuagana na crew ya Origin pale Marangu getini maana baada ya hapo tulikua tunaenda hotelini na wengi wao wasingeweza kuja kule.. It was very sad. Its only few days we stayed in Kili but the bond we had shared with those people was so strong... Watu walilia saana...
Tip tulichangishana tangu mwanzo elfu 75 each.. na mwanzo tulipanga kila mtu achangie laki wengine wakaona laki nyingi tufanye 75... Maana tayari tulishalipia fedha.... ila baada ya kupanda mlima na kuona kazi wale watu wamefanya we all thought kwama 75 haikua pesa.. It was nothing compared na service walitotupatia kule juu. Ile pesa waligawana katika group. Sisi hatukutaka kila mtu ampe tip mtu mkononi kivyake.. maana kuna mtu wa jikoni yeye humuoni unashangaa tu chakula mezani.. kuna mtu anaebeba bag yako humuoni ila muda wote ukifika point fulani unaletewa bag liko salama. So kuna wengine hatu interact nao ila tunapata service yao. Wao wenyewe walijua waligawana vipi ile pesa.
Nilichukua mawasiliano na Fred.. Alinambia hataweza kuja hotelini.. na mpaka kesho kutwa huwa tunawasiliana ingawa most of the time anakua hapatikaniki yuko mlimani.. Nilimpatia tip yake personal tofauti na ile ya group na pia vifaa vingi nilivyonunua kwa ajili ya kupanda mlima nilimuachia.. Alishukuru sana. Pia alinambia ataenda kusomea mambo ya u guide kuna chuo huko.. Kwasababu yeye ni porter na ili uwe guide inabidi upate cheti... So kitu ambacho nimepanga ni kumsaidia part ndogo ya ada.. Mimi sio tajiri maisha yangu ya kuunga unga but what he did kwangu ni wema na utu wa hali ya juu. He was extremely caring. Very understanding.... Maybe that is the only way I can repay him.. Mara kibao huwa namwambia yeye ni mtu poa saana.
Tunarudi Hotelini.. Hiyo ndio siku kulikula misosi tunayopendelea.. It was a celebration evening.. Hiyo siku nilitumia karibu saa nzima kuoga.. maji ya motoooo... I was so relieved... Jioni tukagawiwa certificates wenye kunywa bia ndio walizinywa hapo na pia nilipata nafasi ya kuonana na kiwatengu kwa mara ya kwanza na nitumie nafasi hii kumshukuru kwa ushauri wake na moyo wa kunisaidia mpaka nikafanikisha safari yangu Kilimanjaro.
Wengi wetu tulipata na ganzi katika mikono siku zile za mwanzoni lakini baadae iliishia taratibu.
We came back to DSM safely with a lot of great memories. Climbing Mt Kilimanjaro to the peak is something that I will hold close into my heart. My trip was very eventful and joyous, I met new people who were very generous and down to earth like Fred.. they took care of me as if I were their own child/sister, I came across various obstacles, I strived for the best and most importantly I achieved my goal. It’s unreal how we became so attached with guides/porters in such a short period of time. I journeyed through pain, laughter, suffering, dirtiness and Mr Peters famous porridge and soup.(ambayo ilikua huwezi kukwepa kunywa)
I had the greatest moments and created incredible memories which will remain in my mind and heart forever. As they say nothing comes easy and it’s true, It wasn’t easy at all but I did it... One thing I learned is to appreciate everything this life offers.
I thank God for protecting me all the time, My Mother for her support.. My group mate who not only made the trip funny but also easy,.....Mr Emmanuel & Origin Team for for this wonderful journey![]()
My family & Friends made this for Us..
![]()
The Team behind our success
![]()
Going back to Horombo
![]()
Last picture @ Kibo
![]()
I bought so many things pale Marangu Getini. Hii na i dedicate kwa wote ambao wanasema hawawezi kupanda Mlima
![]()
THE END
Sent from my iPhone using JamiiForums
Waooooo. Sina cha kusema ila natamani wangekuona jf HOE ni dhahabu naomba ichujwe vzrSAFARI YA KUSHUKA MLIMA..
![]()
Kule juu hatukuchukua muda tulianza kurudi kutokana na hali ya hewa kuwa mbaya.. Nilikua nimechoka saaaaana. Tukatembea weee hadi tukafika Gilmans. Uzuri wa kushuka ni unaenda straight hakuna mambo ya kusema upite zig zag mle mle katika njia unapita tu.
Nilivyofika Gilmans nikaanza kushindwa kutembea miguu ikagoma kabisa..nikitembea dakika moja nyingi naishiwa nguvu nasimama au nakaa. Huo muda Fred alikua ameshashuka chini kwani yule mwenzetu niliemuacha nae aliishia Stella so alimrudisha chini. This time nikawa ma guide mmoja mtu mzima anaitwa Moses no comment on him but... Nikamkumbukaje Fred hapa angekua ananibembeleza [emoji23]
Nikaanza kulia.. kushuka ni rahisi ila mimi nilikua nimeishiwa nguvu. Kuna muda nilikua nakuangali kule juu najiuliza hivi mimi niliwezaje kupanda juu halafu hapo najisemea hata unipe bilion moja hunirudishi huko juu mimi...
mzee Moses ananisisitiza nijitahidi nishuke ananiambia Kibo ni pale tunafika sasa hivi wewe jitahidi..Na kweli naona vibanda vilee najipa moyo mwenyewe nanyamaza then naendelea kutembea.. Nikitembea kidogo nachoka nakaa tena naanza kulia. It was a mixed feeling... halafu pia nilikua nimeikumbuka familia yangu.... Tukipishana na watu wananipa pole kama zote.... Nikaishiwa nguvu siwezi kutembea mwenyewe so akawa ananishikilia ndio naweza kutembea.... Tumeshikizana wee Kufika sehem I couldn’t walk at all yaani hata kusimama mwenyewe nikawa siwezi... Hata nikijaribu vipi nashindwa.... ilikuja stretcher kunibeba na kunirudisha Kibo.
Wakati tunaelekea Kibo nilishangaa porters wengi wanapanda kuelekea mlimani. Nikawa najiuliza hawa jua lote hili ndio wanaenda kupanda Mlima nikauliza akanambia wanaenda kupokea watu wanaotoka mlimani. Wengine ndio hao wanarudi na hali kama ya kwangu.
Ukifika Kibo yaani wanakuhudumia vizuri hapo.. Nikapewa chai.. mara soup ya moto.. Tukaambiwa tupumzike kidogo tukiamka tunaanza safari ya Horombo. Ngoma hailali. Nikamuwazia yule mzungu aliefariki.. Nikasema silali wala nini nitakaa macho hadi hiyo time ya kurudi Horombo.. Nisije kufia usingizini. Ila Chezea usingizi na uchovu nilikuja kushtuka naamshwa nikale.. I wish niweke picha moja niliyopigwa wakati nimelala... I was half dead.. chakaram.
ku pack vitu was a headache.. Na ilitupasa tufanye haraka maana hizo domitories kuna wageni wengine walikua wamefika so inabidi waingie.. Saa 8/9 tunaaza safari ya kurudi Horombo.. Usingizi ulinisaidia sana huku nilikua poa njiani tunapiga story kwa saaana na wala sikua na uchovu mkubwa sana.. Rohoni kwangu najisikia safiii. Horombo nawahi kufika mapema kushinda hata wale wengine..Kuna baadhi ya watu walienda kuoga mimi sikuoga wala nini.. Nilisema hadi nifike mjini.. I want hot shower nikae hata lisaa bafuni.
Horombo tunalala then kesho asubuhi inaanza safari ya kurudi Marangu getini. Kabla hatujaondoka hapo Horombo tuliimbiwa nyimbo nadhani kama ni utamaduni fulani.. Nili enjoy saana zile nyimbo.. tukacheza pale.. Mimi na wenzangu 3 tulirudi Marangu getini na ambulance. Asubuhi ile Guide kama kuna mtu katika watu wake hayuko vizuri kuna gari linakuwepo for emergency kuwarudisha getini.. So wengine wanatangulia kwa miguu sisi tunabakia kusubiri gari...
Katika Ambulance kuna waarabu fulani ambao niliwakumbuka vizuri wakati wa kupanda kuanzia Mandara tulikua wote benet.. nao wanarudi kwa ambulance na mchina mmoja. Wale waarabu wa 4 they told us kwamba only 1 of them was able to reach the peak.. huyo mwanaume wale wadada hawakufika.... Mmoja wao alikua anatapika saana... alikua analalamika kuumwa... walituambia wametokea UAE.. Kurudi na gari was another experience..
Ile asubuh tulipoamka Horombo ndio tulianza kushangaana sura zetu [emoji23][emoji23] ni pua zimebabuka... ngozi haiko sawa.. ukimuangalia mwenzako unaweza kujiona wewe una afadhali na mwenzako nae akikuangalia anajiona yeye ana afadhali.. Sisi ndio tunakua wa kwanza kufika tunasubiria wenzetu waliokuja.

I thank God for protecting me all the time, My Mother for her support.. My group mate who not only made the trip funny but also easy,.....Mr Emmanuel & Origin Team for for this wonderful journey[emoji92]
My family & Friends made this for Us..
![]()
The Team behind our success
![]()
Going back to Horombo
![]()
Last picture @ Kibo
![]()
I bought so many things pale Marangu Getini. Hii na i dedicate kwa wote ambao wanasema hawawezi kupanda Mlima
![]()
THE END
Sent from my iPhone using JamiiForums
Waoooo natamani uandike kitabu watu wa utalii mchukueni huyu mtu!!!!anafaaaaSAFARI YA KUSHUKA MLIMA..

😀😀😁😁😁😀bwana bwana stress za maisha hizi
tumezidiana ... unaweza mjibu kwa kejeli ukawa unamuongezea stress akajinyonga.. ndio maana naenda nae taratibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Heaven on Earth unapoifupisha kama HOE inaleta ukakasi kwa sababu ni slang mbaya sana mitaani huko. Vinginevyo umeongea jambo la msingi sana. Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Kuna mengi ya kujifunza kutoka simulizi ya HOE ila kuna kubwa nimelitafakari kuhusu mhusika Fredy kama personal guide.
Sisi wote katika maisha yetu tuna nafasi moja au zaidi kuwa guide aidha ya kumuongoza mtu au kundi kufikia kilele cha mafanikio au kilele cha kutimiza malengo.
Tunawahitaji watu ma guide au porter ambao ni wema kama Fredy wanaoweza kututia moyo na kutuhurumia kipindi tunapambana kufika hatua fulani katika maisha yetu.
Licha ya kuwahitaji akina Fredy kama ma guide ila pia tunao wajibu wa sisi pia kuwa na moyo kama wa Fredy ili kuwawezesha na kuwasaidia wafike kileleni.( tuwafanyie wengine vile tungependa na sisi tufanyiwe)
Na watu kama Fredy/guide ni lazima tuwape heshima zao kwa kutambua thamani na umuhimu wao katika maisha yetu( jambo ambalo HOE amelifanya kwa kutambua na kumpa credit guide)
Tujiulize na kutafakari sote, je mimi na wewe tumewasaidia na kuwawezesha wangapi katika mambo tunayoyajua au tuliofanikiwa kuwafikisha wengine kilele cha mafanikio?
Tunahitaji kuwa kama Fredy katika vipindi vya maisha yetu na pia tunahitaji kujifunza kwa HOE kwa kutambua na kueleza umuhimu wa watu kama Fredy.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi natafuta guide wa kike...I wish Fred awe anaijua na kuingia JF
Mimi niliapa sitakuja kurudia tena kupanda mt Kilimanjaro ila kwa hizi sifa za Fred nitarudi tena aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].......
Sent using Jamii Forums mobile app
Yerewiii[emoji2297][emoji2297][emoji2297]Mi natafuta guide wa kike...
Kwavile wewe ulishapanda naomba uwe guide wangu.[emoji4][emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi na hao watu wa tasnia ya mziki ni vitu viwili tofauti kabisaaaaaaaKwa jina lako hilo weee kafanye tu mzik na lavalava, nyie wote ni wazee wa gundu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mtu naona amekapenda, si wanaume wala wanawake!Mie kila mara narudia kuangalia kamwili kako,
Nahitaji diet na mazoezi ya miaka miwili kufikia walau nusu ya hapo
Nilisubiria sanaI never knew am such a good story teller before.. Nimejua baada ya hii thread
I am overwhelmed na muitikio wa watu wengi na namna walivyofuatiliana na mimi
mwanzo mwisho.. it gave me the strength to keep on writing. Asanteni pia kwa meseji zenu
It gives me so much happiness to know I inspired a lot of people kupitia simulizi yangu.
Haha ha ha ha...Hivyo ni kama SI unit au? Kama sio tupendekeze paitwe hata Mangi point!
Sent from my TECNO CF7 using Tapatalk
Amen
The JF 2018 hero Ms Heaven on Earth.
Just curious: hivi kuna guides wa kike ili nikipanda awe ananifariji?[emoji41][emoji41][emoji4][emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Last episode imenifanya nilengwe na chozi hasa hiyo habari ya fred.Asante sana. [emoji120]
katika kundi la ma guide wetu alikuwepo mmoja tu jina lake Rehema... Halafu she is very young & strong.
Binafis nimelejisikia furaha Sana kwa kitendo Cha kuwatuza hela hao maguide aisee wamefanya kitu kikubwa na kizuri Sana Sana.Last episode imenifanya nilengwe na chozi hasa hiyo habari ya fred.
Huwa najisikia poa sana kupata marafiki katika mazingira kama hayo,hapo ndio hupatikana marafiki wa kweli.
Ngumu sana mtu kupretend upendo kwenye nyakati ngumu za maisha.
Nikisema mwaka huu nitapanda nitakua muongo,ila nitaanza na hii milima iliyopo sehemu naishi ila magufuli hataachi nchi 2020 kabla sijapanda Kilimanjaro.
Sent using Jamii Forums mobile app