Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

Hongera sana, kwa kufika kileleni mm niliwahi fika nikiwa kijana mdogo kabisa, nikiwa advanced level. But nilichogundua ww ni mrembo sana next time i wish to join your team, i will take good care of u
 
Congratulations!, for this accomplishment Heaven..

You also compiled and detailed this so well!
You made it clear that climbing the Kili is not as easy as ABC.
 
Nimesoma kuanzia saa sita kasoro mpaka saa Tisa hii macho yaniambia Kuna kitu inahitaji wacha nilale asubuh namalizia page sita stories n tamu Sana inatia moyo wa mwez wa tatu tujipangeni twende tuanze na machame alafu Aug twende marangu
Ndugu yangu, nikiwa pale Machame Girl's tukajitia ujuzi wa kupanda mlima,kuingia tu forest tukaanza kukutana na Ngedere tukarudi.... Yani Ngedere tu walitutisha, hapo hatujaanza mlima.
 
Sina hata mtoto wa kusingizia. Naenda kufata nini.
Nilivyosoma hapa tuh. Naona Kama nimepanda tayari ....maisha bado nayapendaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwa kweli, wakati mwingine kupanda kwa hisia tu kunatosha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

You can imagine kwenda kutembea pale juu ya barafu..... HOE bila shaka ametuwakilisha eeh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unipitie namie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha,umenichekesha unaposema nilipoona kibao cha HOROMBO ukadhani umefika .
Njia ya marangu hali yake ya hewa sio nzuri,pole kwa kushindwa kupumua.
Kuna njia ngapi za kupanda mlima kilimanjaro,na njia ipi ni nyepesi isiyokuwa na changamoto nyingi na pia njia ambayo ina vivutio zaidi kama hiyo hali ya kubusu jiwe sijui uliyoisema.?! Natamani nami siku moja nifike juu kilimanjaro
 
Rafiki kuna sehemu huyu mpandaji alisema kuwa walikutana na mtu amebebwa juu juuu mimi basi kuanzia hapo nikapatwa na woga!!
Ni kweli rafiki, but wanaokufa namba yao ni ndogo sana kulinganisha na wale wanaofaulu kufika summit na kurejea salama.

Hope tutarudi salama, unakuwa Fredy wangu nami nakuwa HOE wako πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…