Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

Haaaa ahaa aahaaaaa... We jamaa umenichekesha!! Kumbe hofu yako kuzidiwa kete na akina Fredy[emoji4][emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mweka ni Descending route, Haipandishi, maybe incase of emergency.
 
😀😀alimfikisha kileleni haswaa ,ni swala la muda fred anajipatia mtoto mzuri.maana anamsifia anajua kucare mno
😂😂😂Kuhusu kileleni mimi sijui...

Nachojua alimfikisha summit mkuu usinitafutie kesi 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
This is fascinating Heaven on Earth ....absobloodlootely fascinating...Mi nauliza tu, ukiwa juu unaweza kupata hamu ya kupiga/kupigwa mzigo?
 
Hongera sana. nimefurahi kuona some of porters from my home village in Mamba which is close to Marangu Mtoni. nauonaga tuu kwa mbali sijawahi panda ''one day i will''
 
HONGERA, nimeisoma simulizi hii na imenivutia sana, mimi binafsi nilipokuwa mdogo miaka kumi na nne mpaka kumi na saba niliweza kupanda milima midogo mitatu mkoani Mbeya ukiwemo mlima Loleza, Mbeya Peak huu ni mrefu kuliko Loleza na mlima Rungwe mrefu zaidi ya hiyo miwili ya mwanzo.Kwenye simulizi yako nilirejea kumbukumbu ya niliyoyaona njiani has a mabadiliko ya mimea kila kina kwenda juu kinavyozidi kuongezeka, inapendeza sana. Ushauri wangu kwako, kwakutumia simulizi hii jitahidi uiweke kwenye kitabu cha shule ya msingi katika lugha ya kiingereza. Kwenye kitabu hicho hakikisha unatumia picha nyingi zinazoonesha mabadiliko ya mazingira ikiwemo miti, mbuga, maua, mabonde, mito, wanyama mpaka kwenye theruji. Wale tuliosoma zamani kulikuwa na kitabu cha safari y bwana Mutabingwa na familia yake akitembelea Kenya, Uganda na Tanganyika kwa kutumia gari yao, kitabu hicho kilikuwa kinavutia sana kwani kilikuwa na picha za mashamba ya katani Morogoro, milima ya Uluguru na Usambara, bonde la ufa, mashamba ya chai Usambara na mstari wa Ikweta, kilikuwa katika lugha ya kiingereza na watoto walikipenda sana hivyo kurahisisha kukijua lugha.
Ukichelewa na usipoangalia wenzako wanaweza kuitumia simulizi yako.
 
Hiyo ni njia ya lemosho au machame marangu ni njia laini hakuna kigongo tambarare mwanzo mwisho.
jamani Mods muwe mnaweka na kitufe cha UNLIKE wengi hapa ni waongo ,njia ya Machame ni ngumu sana na ni miinuko mikali lkn mbele inakutana na hiyo ya Horombo
 
Mods kitufe cha UNLIKE tuwakamate waongo
(5) wengi , mfano wanaojichuna ngozi n.k
umepanda miaka mitano hujaona waliochubuka ngozi ya mwili au miguu kubabuka ngozi kwa baridi
ilifikia wakati nikagombana na tour guides sijawahi kurudi tena.
Guide hamzuii mtu kutembea umeambiwa kuna mtu kapanda Mlima Kilimanjaro kkwa masaa ma5 hakuna mtu alimzuia
Mt Margarita Uganda
Hakuna Mlima bora maarufu na wa kwanza Afrika km Kilimanjaro hiyo mingine ni km Uluguru
 

mm ni mzaliwa wa Kijiji cha Mauo hapo Marangu Mtoni kwa wazazi ingawa sipo hapo ila @ Disemba tu
namshauri Heaven On Earth aandike kweli kakitabu kwa ajili ya Utalii maana hapo hapo Marangu kuna Marangu Falls alipojitupa mwanamke Manuka, miti mirefu na ya zamani mojawapo ni mrefu zaidi duniani anaweza ongezea hapo Misitu ya Savanha, misitu ya Tundra, Jangwa nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…