Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nashukuru mkuu kwa elimu na vile umenibainishia, mi nipo nje ya morogoroHabari mkuu shukrani. Hiyo route ni KM 15 nafanya mbio tu bila kupumzika wala kusimama sehemu nikichoka napunguza mwendo naenda taratibu mpaka nafika point ya mwisho mkuu wangu. Lakini pia kabla ujapanda uwe unakunywa maji mara kwa mara hii itakusaidia mkuu. Kama upo morogoro napanda tena Jumamosi. Ila nitalala kuna vitu bado naitaji kujua kutoka kule mlimani.
watanzania mbona tuu wasiri sana?mbona hamsemi gharama za kupanda hiyo milima ?
nashukuru mkuu kwa elimu na vile umenibainishia, mi nipo nje ya morogoro
watanzania mbona tuu wasiri sana?mbona hamsemi gharama za kupanda hiyo milima ?
HongeraBaadhi ya picha za uhuru peak , barafu hing camp,View attachment 1210173View attachment 1210175View attachment 1210176View attachment 1210177View attachment 1210178
Hongera sana bibieHuu uzi nili subscribe Kabisaaaa kwa mara ya kwanza ulipoletwa hapa na kujiambia ntapanda na nitautafuta tena and I made it haikuwa rahisi Lakini tumefika , nijambo la kujivunia kwa kila mtanzania na asiye mtanzania
Machame route is the best [emoji307]
I love Kilimanjaro
I love Tanzania
Huu uzi nili subscribe Kabisaaaa kwa mara ya kwanza ulipoletwa hapa na kujiambia ntapanda na nitautafuta tena and I made it haikuwa rahisi Lakini tumefika , nijambo la kujivunia kwa kila mtanzania na asiye mtanzania
Machame route is the best [emoji307]
I love Kilimanjaro
I love Tanzania
Hongera tele kwako👏🏼👏🏼👏🏼Baadhi ya picha za uhuru peak , barafu hing camp,View attachment 1210173View attachment 1210175View attachment 1210176View attachment 1210177View attachment 1210178
Hongera
Asante bossHongera sana bibie
Asante dear! Ndio hali ya hewa ilikuwa Nzuri Sana according to our guide! Hakukuwa na ice Kali wala upepo mkali japo me kwangu ilikuwa ni near death experience hahahahaha uhuru ilikuwa -21 degree alafu sijawahi kukaa hata mahali kwenye -1 degreeWow Hongera sana dear and I am happy kwamba through thread yangu I inspired you to hike Kilimanjaro
Naona umeenda there is no ice.... kama sisi tuliyokutana nayo. HONGERA for reaching the peak cos its not easy at all.
Hongera tele kwako[emoji1376][emoji1376][emoji1376]
😆😆😆Aisee huwa napanga halafu naishia kughairi.Asante boss bado wewe Tunasubiri zako
unataka kwenda kulia lia hukoSio kwa uvivu huo.. It is a great adventure Mimi nime plan kurudi 2020 nikiwa hai.. kuna jambo dogo hatukufanikisha.. So Nitarudi tena
Sent from my iPhone using JamiiForums