Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

Rudi bhana,ulilia inaonesha hahaha.
Au kuna sehemu ulifika ukadhani tayari kumbe bado.
Sio uongo, ni kweli nililia, siku ya tatu kwenye jiwe la kubusu, home nilikuwa nimemuacha first born wangu ndio kwanza alikuwa ana miaka 4, nikamkumbuka mtoto wangu nikalia kwa sauti, hivi ni nini kimenileta huku.....was fun!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…