kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 18,585
- 16,780
Mkuu kupanda mlima Kilimanjaro, Hali yake ya hewa, inabadilika mara nyingi kidogo.Kutokana na ile ya baridi kali sidhani kama nyoka au mnyama mwingine anaweza kukaa kwenye mazingira yale,labda awe yule mnyama anayekaa kaskazini mwa Canada kule Greenland!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mfano ukianzia Marangu geti hadi Uhuru peak, au Gilmans au Stella Point ni sawa na kutoka Ikweta hadi mzingo wa Aktiki.(Unakatiza Climatic regions kadhaa)
Kwa maana hiyo unavyoanza tu, unaanza na forest(thick forest) huku wanyama kama ngedere, kima, Mbega wapo wakutosha.