Easyway
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 2,606
- 3,710
Nikiwa maeneo ya miinuko, sehemu za milima napata sana mafua.Mafua ya mara kwa mara ambayo sio allerg?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikiwa maeneo ya miinuko, sehemu za milima napata sana mafua.Mafua ya mara kwa mara ambayo sio allerg?
Sijajua hawa wanaodaiwa kuvunja rekodi ya kupanda mlima Kilimanjaro kwa kutumia saa 5 ni nani anahakiki huo muda?
Kwa uzoefu wangu wa kupanda mlima Kilimanjaro hapa tunadanganyana mchana peupeeee.
hebu jiulize ambaye hujapanda mlima huo,inawezekanaje mtu atumie saa 5 katika safari ambayo tunatumia siku sita hadi saba kuupanda mlima?
Niia ya Marangu ni siku 6
1.Marangu Gate to Mandara Hut,day one
2.Mandara Hut to Horombo Hut,day two,hapa Horombo ukifika unapumzika siku mbili na utaenda eneo la Zebra Rock umbali wa KM3 kwa ajili ya kuzoea hali ya hewa kabla ya siku ya tatu kuanza safari ya Kutoka Horombo Hut kwenda Kibo Hut.
Safari ya kwenda Uhuru inaanza usiku pale Kibo Hut,muda wa kuondoka unategemeana na maelekezo ya waongozaji wageni ambao bila hawa jamaa kwa kweli huwezi hata kufika Horombo,jamaa ni wazuri sana kwa hamasa hata kama unataka kuishia njiani wanauwezo wa kukupeleka Uhuru kutokana na hamasa yao
hiyo hapo mzee baba,watu wanajipanga sio wanakurupuka tu na kuvunja recordSijajua hawa wanaodaiwa kuvunja rekodi ya kupanda mlima Kilimanjaro kwa kutumia saa 5 ni nani anahakiki huo muda?
Kwa uzoefu wangu wa kupanda mlima Kilimanjaro hapa tunadanganyana mchana peupeeee.
hebu jiulize ambaye hujapanda mlima huo,inawezekanaje mtu atumie saa 5 katika safari ambayo tunatumia siku sita hadi saba kuupanda mlima?
Niia ya Marangu ni siku 6
1.Marangu Gate to Mandara Hut,day one
2.Mandara Hut to Horombo Hut,day two,hapa Horombo ukifika unapumzika siku mbili na utaenda eneo la Zebra Rock umbali wa KM3 kwa ajili ya kuzoea hali ya hewa kabla ya siku ya tatu kuanza safari ya Kutoka Horombo Hut kwenda Kibo Hut.
Safari ya kwenda Uhuru inaanza usiku pale Kibo Hut,muda wa kuondoka unategemeana na maelekezo ya waongozaji wageni ambao bila hawa jamaa kwa kweli huwezi hata kufika Horombo,jamaa ni wazuri sana kwa hamasa hata kama unataka kuishia njiani wanauwezo wa kukupeleka Uhuru kutokana na hamasa yao
Nimefuatilia post zote pamoja na michango yote inayofikia 500.
Nimekuwa na hamu sana ya kuupanda huo mlima na nimefurahi mno kuona ushuhuda huu. Heaven on Earth Mwenyezi Mungu akubariki sana kwa ushuhuda huu.
Mipango yangu ni mwakani lazima nipande panapo uzima.
BTW, you are a good story teller. Nikikamilisha maandalizi ya kimwili (physical) ntahitaji ushauri wako pamoja na kiwatengu kuhusu tour guides na mambo yanayohusiana na hayo.
Cheers.
Sent using Jamii Forums mobile app
I never knew am such a good story teller before.. Nimejua baada ya hii thread
I am overwhelmed na muitikio wa watu wengi na namna walivyofuatiliana na mimi
mwanzo mwisho.. it gave me the strength to keep on writing. Asanteni pia kwa meseji zenu
It gives me so much happiness to know I inspired a lot of people kupitia simulizi yangu.
Ila Mimi hutonidanganya hahahaHi Heaven
Your story is trully Inspiration to anyone
I saw the sense of accomplishment that you get after climbing, the feeling of achievement, appreciation for the journey, and the chance to be outdoors.
I hope you aweken a lot of giants here.
Pia ninaweza kuwadanganya watu kua nimeshapanda mlima kwa refference yako na namna ulivyoelezea na kuweka hizo picha. ninaweza kusimulia watu kila kitu mpaka aina ya vyoo kila kituo
I never knew am such a good story teller before.. Nimejua baada ya hii thread
I am overwhelmed na muitikio wa watu wengi na namna walivyofuatiliana na mimi
mwanzo mwisho.. it gave me the strength to keep on writing. Asanteni pia kwa meseji zenu
It gives me so much happiness to know I inspired a lot of people kupitia simulizi yangu.
Hivyo ni kama SI unit au? Kama sio tupendekeze paitwe hata Mangi point!Stella Points...
Ukizingatia mpenzi wako hamko vizuri kwa sasa , Kwa hiyo Fred unamuachaje?,nafikiri mkishuka mpe
tena watu tupo visu Kweli 😂😂😂Milima ya kawaida[emoji41][emoji3]
Kwakweli HOE anastahili pongezi sana. Nimegundua pia kuna watu kibao humu walishapanda lkn hawakuwahi kuwaza kuleta bandiko kama hili ili kuinspire wengine kupanda. Kongole nyingi kwa mrembo HOE.
Na wale vidume waliokuwa hawaamini JF ina visu, leo wamejionea[emoji41][emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
MKUU umeuliza maswali ya msingi sana. Najua Heaven on Earth atakuja kujibu hapa, lakini kwa uelewa wangu, ile hali ya kule juu haiwezi kufanana na nchi yeyote kwa sababu moja kubwa. Hali ya mwinuko juu ya usawa wa bahari. Hiyo peke yake, inafanya kiwango cha Oxygen kuwa kidogo na kuleta hali ya kupumua kwa shida. Baridi la kule maji yana mnayobeba mgongoni yanaganda, inafika wakati ni nyuzi hasi 15 na kushuka chini Zaidi. Kuna nchi zinaweza kuwa na hali ya baridi Zaidi kuliko huko Uhuru Peak lakini mwinuko wake hauleti shida kwenye mfumo wa upumuaji. Hiyo ndio tofauti kubwa.
Kumbuka mnafika mahali ambapo mvua ikinyesha haiwahusu, inashughulika na walio chini yenu, nyie mpo juu yake.
Mengine wataongezea wataalam na mainjinia watakapokuja kusoma hii unayotaka kusikia hii hahahahahahaaa.
Kwa juu kabisa ila kabla hujafikia ukanda wa jangwa na ukanda wa barafu kuna aina moja tu ya ndege wanaopatikana huko ambao huitwa Alpine chat.
..Asante. umenielewa 100%.
..Natarajia Heaven on Earth atanijibu maswali yangu.
..nia yangu ni kuona kama TRAINING/MAANDALIZI ya kupanda mlima yanaweza kuboreshwa zaidi.
..Kwa haraka nimeona challenges tatu kubwa 😛hysical challenge, wembamba wa hewa, ubaridi mkali unaoambatana na upepo.
..Pia nimeona kuwa dada yetu alifanya maandalizi yake maeneo ya Dsm na Morogoro ambako kuna joto na altitude ndogo.
..Swali ninalojiuliza ni: what if kabla ya kupanda mlima "angejifua" maeneo ya Mbulu ambako kuna baridi kali na hewa nyembamba, au Iringa ambako kuna baridi kali?
..Pia kama angekuwa ameishi ktk nchi ambayo ina majira ya winter makali labda ingemsaidia zaidi kujiandaa kimavazi. Labda angekuwa na advantage kidogo na baridi ingemsumbua lakini siyo kama ilivyomsumbua ktk safari yake ya kupanda mlima.