Simulizi ya ubaharia wa Lemutuz_Superbrand

Simulizi ya ubaharia wa Lemutuz_Superbrand

Malengo matter most kwa maisha ya Anasa ya Lemutuz hata angekuwa anafanya Kazi Sehemu nzuri bado angerejea bongo bila hela , amshukuru MUNGU kea kuzaliwa Familia Bora .
True maisha ya anasa na ufahari mwingi.....
Kuna mtu hapa atuwekee gharama za kulala hoteli ya nyota 5 wiki.....

Hio pesa unanunua kiwanja na una anzisha boma la chumba sebule chumba na master 😊😊😊🤓🤓🤓

Refa ni MUNGU ngoja tumuachie KIPENGA...

🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Naona hata us ni hivo hivo, nilisoma historia ya lemutuzz anasema majuu watu wanachumia tumbo ila kurudi na utajiri mkubwa bongo sio rahisi
Yaan maisha ni malengo wanasema bakresa alikuaga anauza karanga....

Reginald mengi baada ya kuacha kazi alianzia kuuza biki...kalamu🖊️

Motivation speaker 🔊🔊
 
I see kifo kina fumbo lake, comment yangu na yako ni kabla Le Mutuz hajapata umauti, naamini katika Mungu amuweke mahari pema peponi, astarehe kwa amani.
Huyo umkute Club Calabash Mt. Vernon New York anakupa stories zake za ubaharia basi, weee, utafurahi mwenyewe.

The guy was living his life by his own style.
 
Huyo umkute Club Calabash Mt. Vernon New York anakupa stories zake za ubaharia basi, weee, utafurahi mwenyewe.

The guy was living his life by his own style.
Halafu cha kushangaa naambiwa jamaa alikuwa hatumii pombe wala sigara, na last time kuwa naye karibu tulikuwa double tree hotel Masaki kila mtu akiwa na Moshe zake, Le Mutuz niliona anakunywa maji tu ya Kilimanjaro na vipande vingi vya ndimu.
 
Mkuu,
Bata linaliwaje kama mtu a smoke au drink 🍷🥴

Listening good music 🎵🎵🎶 club na disco
Au Bata la kuchakata mbususu mm sijaelewa mtu anaweza hangout bila kilevi chochote may be.. hope alikua anatuficha (Guessing)

Mm nimeishi ivyo so naweza nika hangout na siku zote huagiza maji au soda 🥤

Ila nakua nimetake spirit kidogo 😊🤓 na kiasi ambacho sizidishi watu Huwa hawajui mpak Leo....

So hatuwezi jua kuhusu the late brother lemutuz
 
Back
Top Bottom