uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
You mean Dar es salaam Marine Institute (DMI)
Mkuu kumbe na wew ni Baharia... hongeraah [emoji4]
Unamchokozaa πππ€π€Huyo ukija uzi wa injinia humu utamkuta kacoment km injinia [emoji16]
Shule na exposure yote just to become a 'seamen'."Nikiwa Seamen..." π π π
Naona hata us ni hivo hivo, nilisoma historia ya lemutuzz anasema majuu watu wanachumia tumbo ila kurudi na utajiri mkubwa bongo sio rahisiKwel mkuu ni peponi Kwa baadhi ya watu ni Jehanamu Kwa wengine wengi ...
Malengo matter most kwa maisha ya Anasa ya Lemutuz hata angekuwa anafanya Kazi Sehemu nzuri bado angerejea bongo bila hela , amshukuru MUNGU kea kuzaliwa Familia Bora .Naona hata us ni hivo hivo, nilisoma historia ya lemutuzz anasema majuu watu wanachumia tumbo ila kurudi na utajiri mkubwa bongo sio rahisi
True maisha ya anasa na ufahari mwingi.....Malengo matter most kwa maisha ya Anasa ya Lemutuz hata angekuwa anafanya Kazi Sehemu nzuri bado angerejea bongo bila hela , amshukuru MUNGU kea kuzaliwa Familia Bora .
Haaahaa π€Uzee wa huyu baba na bado alikua anataka kuwa UVCCM
Yaan maisha ni malengo wanasema bakresa alikuaga anauza karanga....Naona hata us ni hivo hivo, nilisoma historia ya lemutuzz anasema majuu watu wanachumia tumbo ila kurudi na utajiri mkubwa bongo sio rahisi
Kuna mengi sana kwenye kutoboa, motivation sabufa wanafikiri mafanikio ni kimwili, kumbe mafanikio huanzia rohoni kisha mwiliniYaan maisha ni malengo wanasema bakresa alikuaga anauza karanga....
Reginald mengi baada ya kuacha kazi alianzia kuuza biki...kalamuποΈ
Motivation speaker ππ
TrueKuna mengi sana kwenye kutoboa, motivation sabufa wanafikiri mafanikio ni kimwili, kumbe mafanikio huanzia rohoni kisha mwilini
Baharia mwenyewe akisema "You know..."Sijawahi kujitambulisha hapa JF my true identity, lakini Baharia mwenzangu Le Mutuz kaniangusha, yeye kasoma Belgium, Mimi nimesoma DMI Bongo, lakini usahihi ni Seaman.
I see kifo kina fumbo lake, comment yangu na yako ni kabla Le Mutuz hajapata umauti, naamini katika Mungu amuweke mahari pema peponi, astarehe kwa amani.Baharia mwenyewe akisema "You know..."
RIP William.
Huyo umkute Club Calabash Mt. Vernon New York anakupa stories zake za ubaharia basi, weee, utafurahi mwenyewe.I see kifo kina fumbo lake, comment yangu na yako ni kabla Le Mutuz hajapata umauti, naamini katika Mungu amuweke mahari pema peponi, astarehe kwa amani.
Watoto hao wasamehe bure. Wanadhani maisha ni rahisi.Kawaida mzee, nimekaa jijini dsm miaka 15 nikarudi bush na madeni, kua uyaone
Halafu cha kushangaa naambiwa jamaa alikuwa hatumii pombe wala sigara, na last time kuwa naye karibu tulikuwa double tree hotel Masaki kila mtu akiwa na Moshe zake, Le Mutuz niliona anakunywa maji tu ya Kilimanjaro na vipande vingi vya ndimu.Huyo umkute Club Calabash Mt. Vernon New York anakupa stories zake za ubaharia basi, weee, utafurahi mwenyewe.
The guy was living his life by his own style.
Mkuu,Halafu cha kushangaa naambiwa jamaa alikuwa hatumii pombe wala sigara, na last time kuwa naye karibu tulikuwa double tree hotel Masaki kila mtu akiwa na Moshe zake, Le Mutuz niliona anakunywa maji tu ya Kilimanjaro na vipande vingi vya ndimu.