Kazetela
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 1,714
- 1,642
The bold, nipo nafuatilia simulizi ya Vipepeo weusi na mkakati no--- sasa nimefikia episode ya5 lakni cha kushangaza link ya 6 na kuendelea zimegoma kufunguka ile sehemu iliyoandikwa click here to expand.Kwahiyo nisaidieni kuzipata hizi links ili niendelee kufaidi uhondo,asanteni sana.