Simulizi za waungwana: Ukitaka kula na shetani tumia kijiko kirefu

Simulizi za waungwana: Ukitaka kula na shetani tumia kijiko kirefu

waungwanaTz

Member
Joined
Aug 6, 2024
Posts
11
Reaction score
9
SHETANI

Baada ya msoto wa muda mrefu,
Chuwa alifanikiwa kupata kazi.
Licha ya kazi hiyo kuwa na mshahara mkubwa na marupurupu yakutosha ila iliuweka rehani utu wa Chuwa kwa kumlazimisha,achangamane na watu walio kinyume na misimamo yake,
maadili yake,tamaduni zake na kila jema alilolijua.
Chuwa aliona hatari iliyo mbele yake kama atachagua kuendelea na kazi hiyo japo alipokumbuka msoto alioupitia na majukumu aliyonayo,alijikuta akibaki njia panda na asijue achague lipi kati ya kuacha kazi ili kulinda utu wake au kuendelea na kazi na kuuweka utu wake rehani.......


lengo la simulizi hii ni kumtaka kila muungwana kufanya yafuatayo:
1.Kuelezea mazingira ambayo aliweza kumkwepa shetani,aliweza kutumia kijiko kirefu na alishindwa kutumia kijiko kirefu.
2.Kuelezea misemo iliyotumika kwenye simulizi hii.
3.Kuvaa viatu vya mzee Haji na kumpatia Chuwa ushauri.
Karibuni.

 
Back
Top Bottom