Simulizi: Zawadi - Sehemu ya 1-7

Simulizi: Zawadi - Sehemu ya 1-7

Habari ndohiyo halafu umenikumbusha kweli mazingira ya shuleni darasani kwangu waschana walikuwa wengi kuliko wanaume nawalinipenda kwa upole wangu na nilikuwa na nakwenda na shilingi moja na senti hamsini niliyo ikwapua home nawatwanga vitumbua kapu zima enzi za mwalim bwana ilikuwa tamu sana

Hahahahaha!!Hopefully umeshawalipa wazee shilingi zao ulizokwapua enzi hizo pamoja na faida!!!
 
Mkuu hata wewe hapo umetumia kama %15 ya hadisi kutoka kwenye ukweli ulipokuwa mgombani unasoma ndomana hadisi yetu hii imenoga sana

Wala sitokataa kwakweli maana ni ukweli usiopingika.
 
ile nafungua page nakuta kitu zawadi juu, nikasema kilio changu kimesikika hatimaye... Kumbe ZAWADI bado yupo mapumzikoni...
 
Much congrats mwaya kweli we ni m2nzi mzuri kaza buti najua ipo cku utatoka tena kwa vishndo na nguvu zote,mungu akutangulie mamii
 
ile nafungua page nakuta kitu zawadi juu, nikasema kilio changu kimesikika hatimaye... Kumbe ZAWADI bado yupo mapumzikoni...

LK Zawadi kaenda kumsalimu shangazi...akipata mwanya tu utamsikia!!
 
Much congrats mwaya kweli we ni m2nzi mzuri kaza buti najua ipo cku utatoka tena kwa vishndo na nguvu zote,mungu akutangulie mamii

Asante mpenzi...ubarikiwe sana!!
 
Lizzy ntaanza kudai fidia kila siku asubuhi kabla hata ya kufumbua macho vizuri nakimbilia huku kuona kama umeshaandika sehemu ya Tano. Mbona kututesa watoto wa wanawake wenzako??!
 
Lizzy ntaanza kudai fidia kila siku asubuhi kabla hata ya kufumbua macho vizuri nakimbilia huku kuona kama umeshaandika sehemu ya Tano. Mbona kututesa watoto wa wanawake wenzako??!

Hhaha...utanisamehe bana maana siku mbili tatu hizi hazijakaa vizuri na Zawadi hataki kulipua so mpeni muda kidooogo.
 
Hongera sana Lizzy nashangaa hii nimeiona leo sijui nilikuwa wapi mie
Naona mnaenda sambamba na Mzee Mwanakijiji
 
Ohoo mami Lizzy thenx mauhondo tupu, huwa naulevi na JF sasa na hengova na zawadi umwambie huko kwa shangazi awe anarudi mapema anatupa shida wapwaze kungoja sana inatukosti
 
Back
Top Bottom