Habari ndohiyo halafu umenikumbusha kweli mazingira ya shuleni darasani kwangu waschana walikuwa wengi kuliko wanaume nawalinipenda kwa upole wangu na nilikuwa na nakwenda na shilingi moja na senti hamsini niliyo ikwapua home nawatwanga vitumbua kapu zima enzi za mwalim bwana ilikuwa tamu sana
Hahahahaha!!Hopefully umeshawalipa wazee shilingi zao ulizokwapua enzi hizo pamoja na faida!!!
Lizzy ntaanza kudai fidia kila siku asubuhi kabla hata ya kufumbua macho vizuri nakimbilia huku kuona kama umeshaandika sehemu ya Tano. Mbona kututesa watoto wa wanawake wenzako??!
Haya muendelezo huo hapo jamani.