Simulizi: Zawadi - Sehemu ya 1-7

Simulizi: Zawadi - Sehemu ya 1-7

Thanks Lizzy,
Thanks God for giving me this opportunity to read again this story
 
Zawadi anarudi tena lini bado naendelea kumsubiri, great work Lizzy
 
Kwa hii fani ya uandishi nakufagilia, kaza buti kitaeleweka mwishoni.
 
nimekuwa teeeeeja, teja wa ZAWADIII, at least arosto imepungua... Thanx Lizzy!!
 
Basi zawadi akalala weee, akalala akalala akalala mpaka akaota ameoana na mwalimu wakawa na watoto mapacha 6, alipoamka akajikuta yuko uvunguni mwa kitanda cha sipitali huku ameumia vidole vyake ndio mana mpaka leo sehem ya 6 haijatoka! Vumilieni itatoka soon! PS WA ZAWADI. Athante!
 
Zawadi akalala weeeee mara akaota doc asubuhi anaingia na majibu ile anamsomea kwamba anaujauzito na wazazi wanakuwa wameingia mlangoni, baba akasikia weweeeeee..... mara kastuka
 
Aliposhtuka akakuta mwalimu wake ameshikilia ''bukee'' la mauaridi ''fresh'' yenye harufu nzuri sana! Kwa mara ya kwanza, Zawadi akatabasamu!
 
hahahha naona watu mnakaimu nafasi ya lizzy kuendeleza hii stori,lol very funny.....
 
Zawadi akalala weeeee mara akaota doc asubuhi anaingia na majibu ile anamsomea kwamba anaujauzito na wazazi wanakuwa wameingia mlangoni, baba akasikia weweeeeee..... mara kastuka
<br />
<br />
hahaha! GAGA! Ngashtuka na mimba
 
Lizy thats great. Wengine huu ni ugonjwa wetu. Malizia. Usikae muda mrefu kama bongo movies, na parties nyiiingi. Inavutia kuisoma.
 
Sorry guys...been kinda busy lately!!
Nikipata nafasi tu ntajitahidi niwaridhishe!!!
Asanteni
 
Back
Top Bottom