Simulizi: Zawadi - Sehemu ya 1-7

Simulizi: Zawadi - Sehemu ya 1-7

HONGERA SANA LIZY!
You're great, use this talent to achieve your dreams.
 
Dah!..Lizzy kumbe wee ni mwandishi mzuri kwa kiwango cha juu kiasi hicho...ngoje nitembelee kulee nikajionee zaidi.
 
Imeanza vizuri story yako ....
Ushauri wa Bure: Waweza kuiuza kwa waigizaji wa filamu Kama JB, Kanumba, Ray nk ili kufidia muda uliotumia kutunga na kuchapa hiyo stori ...
 
Asante mpendwa...hope ulifurahia na kule!!

Imeanza vizuri story yako ....
Ushauri wa Bure: Waweza kuiuza kwa waigizaji wa filamu Kama JB, Kanumba, Ray nk ili kufidia muda uliotumia kutunga na kuchapa hiyo stori ...
Thanks a lot.....
ummm kuhusu ushauri ntafikiria!!
 
Mimi ni mtunzi lakini story yako ni tamu...
Ningefurahi kama tungewasiliana ili kuelekezana mambo fulani
 
Heloo my dia hakiuzwi kitu hapa kama mchezo tutacheza wenyewe kwanini wao waweze sisi tushindwe? kunakitugani cha kutushinda kaza buti mpaka kieleweke dada yangu hawa wankushari ushauri mbaya hebu maliza tuchangie kutayarisha huo mkanda
 
unakipaji lol
Asante!!!!

Hahahaha...hayo sasa ndio maneno Kasopa!!
Asante...ngoja nimalizie tufanye mambo!
 
Lizzy mbona hadith haiendelei, hata tukienda kule kwenye kona yako bado iko sehemu ya sita tu, why!
 
Matatizo kidogo mpendwa....
Ila nimesharekebisha so weekendjiandae!!!
 
Aaaah! Tumechoka kusubiri bwana. Miezi mitatu bado tunasubiri hadithi iendelee...........!!
Masaki tuliza boli bana...ungekua jirani yangu ningeandika kwa kalamu nikupe usome ila sisi kiinternet hivi inabidi vitendea kazi viwe sawa!!
 
Sawa mama ngoja tuendelee kusubiri...Vipi kule Barcelona hukugongana na Messi japo kwenye mgahawa!?
 
Asante kwa uvumilivu!!

Hahahaha...naaah!!Ila nilipata bahati ya kuona anapooga akitoka kufunga magoli!!
 
Back
Top Bottom