Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah!..Lizzy kumbe wee ni mwandishi mzuri kwa kiwango cha juu kiasi hicho...ngoje nitembelee kulee nikajionee zaidi.
Thanks a lot.....Imeanza vizuri story yako ....
Ushauri wa Bure: Waweza kuiuza kwa waigizaji wa filamu Kama JB, Kanumba, Ray nk ili kufidia muda uliotumia kutunga na kuchapa hiyo stori ...
Asante...
Bolded....sure thing!!!
Nafurahi kusikia umefurahia SunMan...
Asante!!!!unakipaji lol
Hahahaha...hayo sasa ndio maneno Kasopa!!Heloo my dia hakiuzwi kitu hapa kama mchezo tutacheza wenyewe kwanini wao waweze sisi tushindwe? kunakitugani cha kutushinda kaza buti mpaka kieleweke dada yangu hawa wankushari ushauri mbaya hebu maliza tuchangie kutayarisha huo mkanda
Asante!!!!
Hahahaha...hayo sasa ndio maneno Kasopa!!
Asante...ngoja nimalizie tufanye mambo!
Matatizo kidogo mpendwa....
Ila nimesharekebisha so weekendjiandae!!!
Masaki tuliza boli bana...ungekua jirani yangu ningeandika kwa kalamu nikupe usome ila sisi kiinternet hivi inabidi vitendea kazi viwe sawa!!Aaaah! Tumechoka kusubiri bwana. Miezi mitatu bado tunasubiri hadithi iendelee...........!!
Masaki tuliza boli bana...ungekua jirani yangu ningeandika kwa kalamu nikupe usome ila sisi kiinternet hivi inabidi vitendea kazi viwe sawa!!