Simuulizi/documentari nzima ya kusisimua kwenye harakati za kuzima moto mlima Kilimanjaro na nilivyoshuhudia kifo mbele yangu lakini nikapona

Simuulizi/documentari nzima ya kusisimua kwenye harakati za kuzima moto mlima Kilimanjaro na nilivyoshuhudia kifo mbele yangu lakini nikapona

HATIMAYE MOTO UMEZIMA JANA TAR 17
NI KUTOKANA NA JUHUDI NA MVUA
ULIANZA TAR 11/10/2020
UMEWAKA KWA SIKU SITA MFULULIZO HATIMAYE MATUMAINI YARUDI
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mfungua uzi unachekesha sana, ahadi nyingiii na story humalizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yani kila nikisoma huu uzi nacheka sana sio kwa mbwembwe hizi! Na hakuna cha zaidi ya kutueleza ulivyofika lango la kuingilia, ukanywa chai na mkate, ukatupa picha za satellite! Hata chanzo cha moto hujaeleza! Mara pc iko charge, mara unajazilizishia, mara itilafu ilitokea! Na unataka iwe thread of the year[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hauko serious
 
KWA HIYO KILA AMBAYE HAJAONGEZEWA MISHAHARA AKIWASHA CHA KWAKE SI HATARI?
Ni hatari kwa watawala wapumbavu waliosababisha hayo. Kwa nchi, itayumba kidogo, baadaye mabadiliko chanya hutokea. Hakuna maendeleo bila jasho. Vivyo hivyo, hakuna amani bila haki.
 
Back
Top Bottom