Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Vipi moto umezimwa?Hapana habari nitaileta vizuri nataka nifungashe kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi moto umezimwa?Hapana habari nitaileta vizuri nataka nifungashe kwanza
Sijamfokea kanielewaAcha kumfokea
Kwahiyo na stori ndio imeishia hapa au tuendelee kusubiri?HATIMAYE MOTO UMEZIMA JANA TAR 17
Hawa hawajaongezewa mshahara huu mwaka wa tano.Uchumi wa kati ila tunazima moto kwa mateke!View attachment 1601968
Baada ya kuunguza kila kitu? Au wamefanikiwa kuuzima?HATIMAYE MOTO UMEZIMA JANA TAR 17
Nili subscribe kabisaNajuta kufungua huu Uzi
Nini kifanyike kuzuia hali hii isijirudie?HATIMAYE MOTO UMEZIMA JANA TAR 17
NI KUTOKANA NA JUHUDI NA MVUA
ULIANZA TAR 11/10/2020
UMEWAKA KWA SIKU SITA MFULULIZO HATIMAYE MATUMAINI YARUDI
Ni hatari kwa watawala wapumbavu waliosababisha hayo. Kwa nchi, itayumba kidogo, baadaye mabadiliko chanya hutokea. Hakuna maendeleo bila jasho. Vivyo hivyo, hakuna amani bila haki.KWA HIYO KILA AMBAYE HAJAONGEZEWA MISHAHARA AKIWASHA CHA KWAKE SI HATARI?