Nimepokea ya Lizzy muda si mrefu, acha niijibu na nadhani kuna ya Shantel imeingia. Dah bizee kweli aisee
Your search - ngabu mabusha loveconnection - did not match any documents
try ngabu mafix.com
Your search - ngabu mabusha loveconnection - did not match any documents
try ngabu mafix.com
Queenkami anasema inbox yako imejaa nami tayari nshachukia hela zake....
Lol @ Ngabu mafix
Perfect
Unatumia browser gani wewe? Kama unatumia IE imekula kwako....twaenda na wakati sisi.
hehehe kamanda humpandishi mtu punda (ref: ile sredi yako mi ID mingi) lol, mjaribu fellow tablet
Honey! umejiskiaje uliponiona?
halaf yule Queen kami alikuwa anahubiri neno la Mungu kweli wallahi hehehe JF bana, acha tumsubirie fellow tablet alete ushuhuda wake wa kuokolewa na Queen Kami kwanzaAhahahaaa...unataka kusema mimi ndo queenkami? Hapana bana...queenkami si mimi. Siku ile nilikuwa na-clown tu. Muulize Asprin...manake queenkami yuko kwenye list ya friends wake.
Au kama vipi mcheki Cookie akupe IP address uone....lazima ya queenkami itaonyesha yuko huko Scandinavia
Kabisa kabisa hatuwezi kuacha uzembe wa namna hii , hebu njoo PM nikuage basi wajameni! khaa hata haunimiss basi?Yaani nimejisikia vibaya kweli....yaani Fidel ameamua kukuanika kwenye jamvi namna hii...inabidi tufungue mashitaka....
halaf yule Queen kami alikuwa anahubiri neno la Mungu kweli wallahi hehehe JF bana, acha tumsubirie fellow tablet alete ushuhuda wake wa kuokolewa na Queen Kami kwanza
Yaani nimejisikia vibaya kweli....yaani Fidel ameamua kukuanika kwenye jamvi namna hii...inabidi tufungue mashitaka....
halaf yule Queen kami alikuwa anahubiri neno la Mungu kweli wallahi hehehe JF bana, acha tumsubirie fellow tablet alete ushuhuda wake wa kuokolewa na Queen Kami kwanza
Hehehe queen kwami roho ilidondoka kwa Ngabu .......halo haloooo kaa didi
Hehehe queen kwami roho ilidondoka kwa Ngabu .......halo haloooo kaa didi
Bwa! ha! ha! ha!
Unajua ukichunguza kiundani kabisa utagundua kwamba hii JF nzima mimi peke yangu ndio nina akili timamu. msibisheHahahaa unajua hapa JF kuna vituko sana. Kuna watu kweli wanadhania eti mimi ndo queenkami. Halafu jana nikasikia ya kukata na kiwembe...eti kuna mtu kafanya risechi na kagundua kuwa AshaDii ndo Nyani Ngabu...teh teh teh....