Simwelewi kabisa huyu mpwa wangu

Simwelewi kabisa huyu mpwa wangu

Your search - ngabu mabusha loveconnection - did not match any documents
try ngabu mafix.com
 
Unatumia browser gani wewe? Kama unatumia IE imekula kwako....twaenda na wakati sisi.
 
hehehe kamanda humpandishi mtu punda (ref: ile sredi yako mi ID mingi) lol, mjaribu fellow tablet

Ahahahaaa...unataka kusema mimi ndo queenkami? Hapana bana...queenkami si mimi. Siku ile nilikuwa na-clown tu. Muulize Asprin...manake queenkami yuko kwenye list ya friends wake.

Au kama vipi mcheki Cookie akupe IP address uone....lazima ya queenkami itaonyesha yuko huko Scandinavia
 
hivi hamna doctor atueleze kinachowarusha wagonjwa wa busha
 
mwache tu atakapolazimika kulibeba kwa toroli ndo atatia adabu..
 
Ahahahaaa...unataka kusema mimi ndo queenkami? Hapana bana...queenkami si mimi. Siku ile nilikuwa na-clown tu. Muulize Asprin...manake queenkami yuko kwenye list ya friends wake.

Au kama vipi mcheki Cookie akupe IP address uone....lazima ya queenkami itaonyesha yuko huko Scandinavia
halaf yule Queen kami alikuwa anahubiri neno la Mungu kweli wallahi hehehe JF bana, acha tumsubirie fellow tablet alete ushuhuda wake wa kuokolewa na Queen Kami kwanza
 
Hehehe queen kwami roho ilidondoka kwa Ngabu .......halo haloooo kaa didi
 
halaf yule Queen kami alikuwa anahubiri neno la Mungu kweli wallahi hehehe JF bana, acha tumsubirie fellow tablet alete ushuhuda wake wa kuokolewa na Queen Kami kwanza

Hahahaa unajua hapa JF kuna vituko sana. Kuna watu kweli wanadhania eti mimi ndo queenkami. Halafu jana nikasikia ya kukata na kiwembe...eti kuna mtu kafanya risechi na kagundua kuwa AshaDii ndo Nyani Ngabu...teh teh teh....
 
Unajua ukichunguza kiundani kabisa utagundua kwamba hii JF nzima mimi peke yangu ndio nina akili timamu. msibishe
 
Back
Top Bottom