Simwelewi kabisa huyu mpwa wangu

Yaani wewe hujui tu jinsi nilivyokumiso....acha tu mlango wazi mimi nakuja...🙂

Mlango uko wazi laaziz! acha niwache msg hawa kina NN wasije wakasumbua.

Klorokwini is not reachable please leave the message after the tone. twiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Mlango uko wazi laaziz! acha niwache msg hawa kina NN wasije wakasumbua.

Klorokwini is not reachable please leave the message after the tone. twiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Hi, you have reached the Klorokwins. We are not home right now but if you leave us your name, number, and a brief message we'll get back to you as soon as possible…beeeep.
 
Mlango uko wazi laaziz! acha niwache msg hawa kina NN wasije wakasumbua.

Klorokwini is not reachable please leave the message after the tone. twiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Afadhali....ngoja tuhamie chumbani kwanza...🙂
 
E bana eeee huyo Son of Alaska alivyokuwa na mapicha ya mabusha itakuwa anahusuka kwa karibu nini?!
 
manati inakodishwa hii,otherwise umuambie bibi anikaribishe futari manake nausindikiza mwezi hadi oman (ndo ulikozaliwa ujue!). maelezo yako ya kunanilii na busha yameniogopesha hata nikiliandika nafumba macho. kwenye pm labda shemeji yako ashadii anisindikize,naogopaa
King'asti hebu peana na mimi manati hiyo...........kuna mtu ananiletea za kuleta.

BTW ushawahi kukutana na Busha? Nijibu kwa PM tafazali.
 
bushaaaaa! mpe pole na endeleeni kumsisitiza aende hospital.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…