Keren_Happuch
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 1,874
- 935
Kabisa kabisa hatuwezi kuacha uzembe wa namna hii , hebu njoo PM nikuage basi wajameni! khaa hata haunimiss basi?
Yaani wewe hujui tu jinsi nilivyokumiso....acha tu mlango wazi mimi nakuja...🙂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa kabisa hatuwezi kuacha uzembe wa namna hii , hebu njoo PM nikuage basi wajameni! khaa hata haunimiss basi?
Unajua ukichunguza kiundani kabisa utagundua kwamba hii JF nzima mimi peke yangu ndio nina akili timamu. msibishe
ningekuwa wewe ningemfungulia mashtaka klorokwini kwa baba paroko....lol
Humu wengi kama siyo wote ni wasanii.
Wasio na ID zaidi ya mbili na wanyooshe vidole....
Humu wengi kama siyo wote ni wasanii.
Wasio na ID zaidi ya mbili na wanyooshe vidole....
Hata wakinyoosha hutaamini what's the point!
😛eace:
Kwani nimesema nataka kuamini? Wee vipi wewe...ebo!!
Ebo tena!
Ebo la punda la farasi linadunda.....😛
mother of them all![]()
Yaani wewe hujui tu jinsi nilivyokumiso....acha tu mlango wazi mimi nakuja...🙂
Mlango uko wazi laaziz! acha niwache msg hawa kina NN wasije wakasumbua.
Klorokwini is not reachable please leave the message after the tone. twiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Keren vipi, umeipenda hiyo eeeh?
Nimenyosha vidole kama ulivyouliza.........
Mlango uko wazi laaziz! acha niwache msg hawa kina NN wasije wakasumbua.
Klorokwini is not reachable please leave the message after the tone. twiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Huku duniani hakuna mbu wala minyoo sasa busha litatoka wapi????E bana eeee huyo Son of Alaska alivyokuwa na mapicha ya mabusha itakuwa anahusuka kwa karibu nini?!
King'asti hebu peana na mimi manati hiyo...........kuna mtu ananiletea za kuleta.
BTW ushawahi kukutana na Busha? Nijibu kwa PM tafazali.
<br />Unajua ukichunguza kiundani kabisa utagundua kwamba hii JF nzima mimi peke yangu ndio nina akili timamu. msibishe