Dada,
Watu wanacheka ila huu ugonjwa ni mbaya saaana...Usiombe kukutana na mgonjwa ambaye busha lake liko kwenye level ya heavy weight!!
Mengine ni haya hapa,
View attachment 36623
Mpwa,
Kuna BM mmoja nlitongozaga kipindi chetu kile. Akanambia kama huna busha usijisumbue. Yawezekana mke wake analipenda, mnataka kumwondolea utamu.
Habari zenu binafsi
Ningeshangaa ungesema hujawahi, manake kwa navyokujua hupitwagi.eeh mi nimewahi...
kama wanaskia raha kwa nn wanatukana wakijambishwa na kujishika kama wanaumia vile?
najiuliza y wnabaki nayo wakati ni tabu tupu hii, au uwoga wa operation au cjui kitu gani....
Ningeshangaa ungesema hujawahi, manake kwa navyokujua hupitwagi.
Habari ya nyumbani kwetu mamushka? ODM anajisikia kukumisi sana
Kashachukua mkwanja wenu, bado anajivinjari na busha.Ndo hapo mpwa nimegundua hilo ngoja nimwache aendelee nalo tu
Hata shangazi nae analifrahia maana yupo kimyaa kwa hili.
Alivyo jambishwa uliona kafanyaje
Wewe B,
Hujui kwamba raha ikizidi tena wrong place inakera???
kuna ubaya gani na wahusika kama mpwa wa Fidel analikatalia lisitolewe?
wanajishika huko kunako halafu wanakuwa ka wanaugulia hivi...kisha wantoa mitusi haooo...lol
Kashachukua mkwanja wenu, bado anajivinjari na busha.
Raha ya busha ni wakati wa kuduu. Lile dude linafunika na kutekenya kinyeo wakati wa ile staili ya Kifo cha Mende. Kina mama wanasikia raha sana.
Wenye mabusha mapigo yao ni ya kifo cha mende. Ukimfumania na mkeo nakushauri utoe talaka. Watarudiana tu!...Sorry, hivi hili jukwaa gani vile?
Thats my mamushka....kuna mtu anatumia ID ya hii fevareti name yangu kwako, natamani nimgn'ate sikio......Haitendei haki kabisa.nipitwe na ya kuonea ninyo tena mashallah Mungu kanijaalia ya kueleweka hasa....lol
ODM ndo nini? mi sipendi kukuita hivyo bana, you will always be my biggy...nimekukumbuka pia kaka mkubwa!
B umewaona wangapi! Lol
Duh hizo picha zinatisha.
Mungu awakinge na wengine na wagonjwa wapate nafuu
Usijali ntakupa pasiwedi ya ID yangu ile ya saba.wee biggy sred itahamishiwa kwa maria na sisi hatuna access huko ujue...
Thats my mamushka....kuna mtu anatumia ID ya hii fevareti name yangu kwako, natamani nimgn'ate sikio......Haitendei haki kabisa.