Simwelewi kabisa huyu mpwa wangu

Simwelewi kabisa huyu mpwa wangu

Mpwa,

Kuna BM mmoja nlitongozaga kipindi chetu kile. Akanambia kama huna busha usijisumbue. Yawezekana mke wake analipenda, mnataka kumwondolea utamu.

Habari zenu binafsi

Ndo hapo mpwa nimegundua hilo ngoja nimwache aendelee nalo tu
Hata shangazi nae analifrahia maana yupo kimyaa kwa hili.
 
eeh mi nimewahi...
Ningeshangaa ungesema hujawahi, manake kwa navyokujua hupitwagi.

Habari ya nyumbani kwetu mamushka? ODM anajisikia kukumisi sana
 
  • Thanks
Reactions: bht
najiuliza y wnabaki nayo wakati ni tabu tupu hii, au uwoga wa operation au cjui kitu gani....

Mwanazoni wanaona ni mali sana na pia wanakuwa na soko sana..Ila ikifika mwishoni wanateseka sana!!

Weee acha tu...Ni taabu tupu inayotokana na ujinga!!
 
Ningeshangaa ungesema hujawahi, manake kwa navyokujua hupitwagi.

Habari ya nyumbani kwetu mamushka? ODM anajisikia kukumisi sana

nipitwe na ya kuonea ninyo tena mashallah Mungu kanijaalia ya kueleweka hasa....lol

ODM ndo nini? mi sipendi kukuita hivyo bana, you will always be my biggy...nimekukumbuka pia kaka mkubwa!
 
Duh hizo picha zinatisha.

Mungu awakinge na wengine na wagonjwa wapate nafuu
 
Ndo hapo mpwa nimegundua hilo ngoja nimwache aendelee nalo tu
Hata shangazi nae analifrahia maana yupo kimyaa kwa hili.
Kashachukua mkwanja wenu, bado anajivinjari na busha.

Raha ya busha ni wakati wa kuduu. Lile dude linafunika na kutekenya kinyeo wakati wa ile staili ya Kifo cha Mende. Kina mama wanasikia raha sana.

Wenye mabusha mapigo yao ni ya kifo cha mende. Ukimfumania na mkeo nakushauri utoe talaka. Watarudiana tu!...Sorry, hivi hili jukwaa gani vile?
 
kuna ubaya gani na wahusika kama mpwa wa Fidel analikatalia lisitolewe?

Ni ujinga tu na kulewa sifa zinazotoka na starehe ya muda anayoipata mama watoto kwa sasa. Na hajui kwamba itafika muda wataishi kama dada na kaka tena wakati huo anauguza!
 
Kashachukua mkwanja wenu, bado anajivinjari na busha.

Raha ya busha ni wakati wa kuduu. Lile dude linafunika na kutekenya kinyeo wakati wa ile staili ya Kifo cha Mende. Kina mama wanasikia raha sana.

Wenye mabusha mapigo yao ni ya kifo cha mende. Ukimfumania na mkeo nakushauri utoe talaka. Watarudiana tu!...Sorry, hivi hili jukwaa gani vile?

wee biggy sred itahamishiwa kwa maria na sisi hatuna access huko ujue...
 
nipitwe na ya kuonea ninyo tena mashallah Mungu kanijaalia ya kueleweka hasa....lol

ODM ndo nini? mi sipendi kukuita hivyo bana, you will always be my biggy...nimekukumbuka pia kaka mkubwa!
Thats my mamushka....kuna mtu anatumia ID ya hii fevareti name yangu kwako, natamani nimgn'ate sikio......Haitendei haki kabisa.
 
B umewaona wangapi! Lol

Gee,

hahaaaa ni sample size ya kutosha kutoka na hilo hitimisho... LOL!! (hata jana usiku nilienda kununua viepe vumbi nikamuona mmoja kajizungushia msuli)

wewe je Gee?
 
Duh hizo picha zinatisha.

Mungu awakinge na wengine na wagonjwa wapate nafuu

Acha kumtania Mungu,

Yanasababishwa na minyoo na dawa za kuzuia mabusha na matende zinatolewa na watu wa NIMR kila mwaka... Dar nadhani sasa hivi ni mwaka wa 6 tangu waanze kutoa. Wewe hujanywa???
 
Thats my mamushka....kuna mtu anatumia ID ya hii fevareti name yangu kwako, natamani nimgn'ate sikio......Haitendei haki kabisa.

mferenge kabisa huyo na sime yako, au mlenge na manati ya King'asti....

yule ni mamushkar bana...mitindo yake na yangu tofauti kabisa...dont luz your kul
 
Back
Top Bottom