mweeeh
hiyo ya Son of Alaska imekubuhu naona inafikia kuwa na ngozi ya tembo
Hiyo Albendazole huwa ninakula mwenyewe kila baada ya miezi sita mpaka mwaka.
Nadhani DC ni ukosefu wa taarifa tu. Watu hawajui kama kuna dawa hizo zinazotolewa au zinazoweza kununuliwa madukani.
Haya kila mmoja shime akawahi dawa yake
King'asti hebu peana na mimi manati hiyo...........kuna mtu ananiletea za kuleta.hii manati inakodishwa! afu ujiandae, nishamuambia fide alete huyo busha hapa tumuopereti! babu atamuwekea waleti yenye fedha za mchango hadi afufuke ndo atulipe.
afu babu punguza lugha hizo,wenzio we ar 35 yrs old babies!
<br />
<br />
Haka bado kadogo saaaana...Hata hajakaribia kwenye magoti??
Ombeni tu Mungu msione mzigo wenyewe..Ngoja nimwombe jamaa yangu mmoja anipe picha ya full moon!
Heeeee shugacake unaongelea kutokana na eksipiriensi ama???
Na huku Mpigi Magohe ukiwa nalo unaozwa mke wa tatu. Bisha!Huku shekoslovakia ukiwa na busha wanakuweka museum! msibishe!
Huku shekoslovakia ukiwa na busha wanakuweka museum! msibishe!
Huku shekoslovakia ukiwa na busha wanakuweka museum! msibishe!
mother of them all
wewe mpaka mida hii una wangapi?Na huku Mpigi Magohe ukiwa nalo unaozwa mke wa tatu. Bisha!
kwa hiyo na wewe uko makumbusho saa hizi/
NN kasema unalo...lol
Al Mwinyi Shugacake anakutafuta bana...kanambia anataka kuonja mwenye busha nikasema ngoja Kloro aje
Ushindwe mwenyewe tu sasa
Comrade hebu taja maeneo hapa nikajaribu bahati yangu.....Pwani kubwa hii, kuna wabara kibao wamevamia.Hii kitu ukiwa nayo utavila sana videmu kanda za pwani.
Comrade hebu taja maeneo hapa nikajaribu bahati yangu.....Pwani kubwa hii, kuna wabara kibao wamevamia.
mother of them all
wewe mpaka mida hii una wangapi?
Mnachafua CV wajameni! mtamkimbiza Keren Happuch!
heheeh uskute huyu ni memba wa JF halaf keshawahi kumtongoza Gaijin au Bht. Dah!