Simwelewi kabisa huyu mpwa wangu

Simwelewi kabisa huyu mpwa wangu

Kwa hospitali ni kisarawe tu?Mpleke hata temeke,Amana na Mwanyamara maana zote ni DDH zinaweza kufanya huo upasuaji wake tena within a minute.Labda anayapenda shangazi yako ktk majambozi.
 
Hahaha tunatafuta kuweweseka wiki nzima tufikiriwe tuna mapepo bure!

hapo tu kwenye picha ishakuwa tabu sasa ndo ulione live, kuna kulala? utapata usingizi wa mang'amung'amu tu
 
Nasikia mwenye Busha akijambishwa anaruka inakuwa kama mtu katiwa kidole matakoni.
 
Sante kwa taarifa...........naamini Klorokwini hajaona hii posti, hebu kaidelete fasta kabla hajaisoma.
Halaf Fellow Tablet unasalimiwa na wiselady, nimempiga ban kabisa kuongea na wewe dairekti
 
Elephantitis-Elephantiasis-balls.jpg
Hii hapa parade
 
heheeh uskute huyu ni memba wa JF halaf keshawahi kumtongoza Gaijin au Bht. Dah!

Hilo sasa hata mimi nimelikubali....Full moon..hapo huyo jamaa ni sexually useless kwa sababu hata kovu la kidudu chake limeshapotea!!
 
Nahisi kule kuna vifaa vikali zaidi, ngoja nimuwahi.

Ameshanijibu kwa PM. Ameniomba usiweke mambo hadharani kina Gaijin wasije wakampiga bao.

Halaf tangu mnipakazie nina busha, PM za kinamama zimeongezeka kweli, hii inasibitisha kwamba kweli kina mama wanapenda mabusha. Hata hawa kina bht na gaijin wanaona viabu flani tu lakini nina hakika baada ya kuangalia hizi picha za mabusha watadai talaka kwa mabwana zao watutafute
 
Back
Top Bottom