Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa mawazo yako mkuu me ntajitahidi kama niwakubadilika atabadilika, Shukrani mkuunaungana na huyu jamaa. unapokua mwanaume ni vizuri ukawa na principles zako na aina ya msichana unaemtaka. kama ana tabia fulani huipendi mueke wazi, kama anaweza kujirekebisha ajirekebishe., kama hawezi basi mwambie tu muachane, kwanini ukae na kitu usichokipenda moyoni?
Nisawa lakini me kumula kimasihara inawezekana lakini naogopa mahusiano yangu na Mungu wangu.
Kweli mkuu naamini hata hao anao chat nao lazima tu waingize maswala ya mahusiano kwakeMueleze mze tabia usizopenda kwake kama hizo za kuchati chati kama mtoa huduma na wanasema hakuna urafiki baina ya jinsia mbili tofauti ipo siku yatatokea ya kutokea tu.
Acha mawazo potofu, maisha unapanga wewe unataka uishi vipi, fikra za shetani kukuharibia maisha zitakuharibu, shetani anaweza kuwepo au asiwepo lakini uwezo wa kukuharibia maisha hana.Kwa hiyo mkuu yaweza kuwa ni shetani anataka kuniharibia maisha?
Ni kweli mkuu kwa ninavyo jijua mimi na Mungu wangu nahitaji mwanake mwenye hofu ya Mungu ndo tutaendana, nikimwangalia huyu nahisi bado hajamshika Mungu sawasawa.Nadhani wewe unapaswa upate mwanamke mshika dini na sio huyo chakalamu..Tafuta wa kufanana nae huyo sio size yako na yeye anajua kbs kwa kichaa chake anahitaji mwanaume kama wewe nice boy.
Anaenda kufanya ujinga wake huko anapumzika kwako religion boy
Kwahiyo mzee hapana ngono mpaka ndoa au dini kwenye mambo mengine tu ila mahusiano fresh tu???
Hilo lina ukweli kwasababu jinsi mbili zitadiscuss nini kwa kina kama sio mahusiano?Kweli mkuu naamini hata hao anao chat nao lazima tu waingize maswala ya mahusiano kwake
Kweli kabisa ndege wafananao huruka pamoja umemshika mungu tafuta mshika mungu mwenzako lasivyo utakutana na kitu kitakacho kutoa kwenye njia.Ni kweli mkuu kwa ninavyo jijua mimi na Mungu wangu nahitaji mwanake mwenye hofu ya Mungu ndo tutaendana, nikimwangalia huyu nahisi bado hajamshika Mungu sawasawa.
Nakazia hapo.Acha mawazo potofu, maisha unapanga wewe unataka uishi vipi, fikra za shetani kukuharibia maisha zitakuharibu, shetani anaweza kuwepo au asiwepo lakini uwezo wa kukuharibia maisha hana.
Ushauri kuhusu huyo binti na tabia yake ya kuchati ukiwa nae, kwanza hakuheshimu, kwasababu kwa mtu anayeheshimu mahusiano yake hawezi kuonesha tabia ambayo inahisiwa ni ya kimalaya, unaonekan hujawahi kumwambia hupendezwi na hiyo tabia.
Mwanamke anakujaje from nowhere anakuambia umuoe?na wewe unataka kumuoa?, 25 lakini uko obsessed na ndoa? Tuliza mpira huyo binti asikufanye uwe pressured na ndoa, tulia endelea kumchunguza vizuri.
Sawa mkuu nimekuelewa na ubarikiwe kwa ushauri wako ngoja nizidi kumchunguza yasije nitokea puani.Acha mawazo potofu, maisha unapanga wewe unataka uishi vipi, fikra za shetani kukuharibia maisha zitakuharibu, shetani anaweza kuwepo au asiwepo lakini uwezo wa kukuharibia maisha hana.
Ushauri kuhusu huyo binti na tabia yake ya kuchati ukiwa nae, kwanza hakuheshimu, kwasababu kwa mtu anayeheshimu mahusiano yake hawezi kuonesha tabia ambayo inahisiwa ni ya kimalaya, unaonekan hujawahi kumwambia hupendezwi na hiyo tabia.
Mwanamke anakujaje from nowhere anakuambia umuoe?na wewe unataka kumuoa?, 25 lakini uko obsessed na ndoa? Tuliza mpira huyo binti asikufanye uwe pressured na ndoa, tulia endelea kumchunguza vizuri.
NdiyoNikupe?
Yeye binti atakuwa kwenye miaka 19Wewe una miaka 25...
Bila shaka mwanamke ana miaka 25 au chini ya hapo, umri sahihi kabisa wa 'nyege ndoa' kwa wanawake...
Ndio umri wanawake wengi wanapigwa mimba sababu tu wanataka ndoa...
Usioe mwanamke kwenye range hiyo maana huwa hawajaamua mtu sahihi wa kuwa nao...
Tafuta mwanamke mwingine 'mpendwa' uoe..huyo ktk ulimwengu wa kiroho nafsi yako imeshamkataa..lazma kutakua na kitu kibaya mbeleni.Naam mkuu ndo muendelezo wake mkuu, hebu nipe ka ushauri kidogo kuhusu hili swala.