Google Diggers
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 944
- 1,138
Somo hapo juu linasoma.
Mimi ni Mzee na Nina familia ni kawaida kuchelewa kwangu, lakini pamoja na kui asa familia iwahi mapishi na kwa kuwa nafanya shopping ya two wiki, na maji choo na kila kitu ndani bado napata mashaka sana na hivi vishenzi a.k.a panyaroad.
Kwa kawaida nchi haipaswi kudharau hizi Growing Organized whether it's Criminal Groups ziwe za Kidini , za kijanii nk ni muhimu kupay attention.
Nashukuru serikali ilionesha kujali baada ya kamishina wa mkoa wa DSM kutia onyo. Ila askari wake sioni wakiwa serious.
Polisi jamii sio suluhu. Na sidhani kama serikali makin yenye askal na wasomi watabaki kuamini sungusungu can solve this horrible attack from silly child brain Dead