Kama alivyosema bill gates wa bongo, benki na financial institution mara nyingi katika kutoa mikopo wanaangalia biashara iliyoanzishwa tayari na ndio maana wanahitaji uzungushe akaunti kwa maana unafanya biashara ndio maana hela inazunguka na TIN na wengine wanataka kuiona kabisa hiyo biashara phisically, then collaterial ni kama procedure tu, lakini wao hawa target kuuza nyumba yako warudishe hela yao, wanachotaka ni urudushe kwa kawaida tu maana ndio biashara yao.