Sina biashara ila nina hati ya nyumba ya baba. Je naweza kupata mkopo benki?

Sina biashara ila nina hati ya nyumba ya baba. Je naweza kupata mkopo benki?

Kama alivyosema bill gates wa bongo, benki na financial institution mara nyingi katika kutoa mikopo wanaangalia biashara iliyoanzishwa tayari na ndio maana wanahitaji uzungushe akaunti kwa maana unafanya biashara ndio maana hela inazunguka na TIN na wengine wanataka kuiona kabisa hiyo biashara phisically, then collaterial ni kama procedure tu, lakini wao hawa target kuuza nyumba yako warudishe hela yao, wanachotaka ni urudushe kwa kawaida tu maana ndio biashara yao.
 
ushauri mwingi hapa ni mzuri, niongezee kwa kusema kama ukishindwa kupata, ni vizuri ukaanza biashara yako na kiasi ulicho nacho, then itakuwa rahisi kuendeleza kwa kupata mkopo kwa masharti mepesi kama walivyo shauri humu, coz benki nyingi kama ni mkopo wa biashara wanataka On-going business ili wajue maendeleo ya biashara yako kama inakopesheka!
 
Usije ukaweka rehani nyumba ya urithi wewe ndugu zako watakutoa roho....
 
Mkuu kwa thamani ya nyumba yako hata kama iko utete rufiji? ukaiweke rehani kwa mahitaji ya 4m? inakuingia akilini?

ww nenda finca, pride au ccm(wana anzisha mikopo kwa vikundi vya vijana) watakupa hiyo 4m ukifwata mashariti yao
Mkuu acha kudanganya collateral security is prerequisite before been granted a loan!
 
Mkuu acha kudanganya collateral security is prerequisite before been granted a loan!

collateral ya 30m + uiwekeze kwa shida ya 4m? na ukifwata mfumo wa kibenki hiyo 4m hutoipata bure? it will cost you the following

evaluation of the collateral - < 500,000 +
loan processing fees - < 300,000 +
riba - jaza mwenywe

uongo wangu uko wapi hapo? nilichomweleza for the amount he is asking for with his collateral it's not worth it
 
Labda mkopo achukue baba yako kwa jina lake then akupe, afu wewe uwe unapeleka marejesho kulingtana na Agreement lakini Loan beneficiary atujulikana ni baba yako!!!!
 
Habari zenu marafiki... Kwa kifupi ninawazo la kufanya biashara japo mkononi sina pesa za kutosha. Nilipo mueleza baba leo amenipa hati ya nyumba yake nitafute mkopo benki. Sijui hata nianzie wapi. Nina laki 9 mkononi na nina hitaji japo milioni 4 au 5 wazo langu litimie. Naombeni ushauri kwa mwenye ufahamu wa kutosha juu ya hili.

pesa uliyonayo inatosha kuendesha biashara na kupata faida. cha msingi tafuta mafunzo ya ujasiliamali kwanza ndipo upate faida. usiendekeze kukopa kwa kutumia hati ya nyumba ya familia kwani unaweza kusababisha nyumba kuuzwa na kukosa makazi
 
Back
Top Bottom