Mkuu acha kudanganya collateral security is prerequisite before been granted a loan!Mkuu kwa thamani ya nyumba yako hata kama iko utete rufiji? ukaiweke rehani kwa mahitaji ya 4m? inakuingia akilini?
ww nenda finca, pride au ccm(wana anzisha mikopo kwa vikundi vya vijana) watakupa hiyo 4m ukifwata mashariti yao
Mkuu acha kudanganya collateral security is prerequisite before been granted a loan!
Habari zenu marafiki... Kwa kifupi ninawazo la kufanya biashara japo mkononi sina pesa za kutosha. Nilipo mueleza baba leo amenipa hati ya nyumba yake nitafute mkopo benki. Sijui hata nianzie wapi. Nina laki 9 mkononi na nina hitaji japo milioni 4 au 5 wazo langu litimie. Naombeni ushauri kwa mwenye ufahamu wa kutosha juu ya hili.