Sina Deni na Wachezaji wa Simba SC hata kama Kapombe na Chama Wamekosa Penati zao

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kwangu Mimi GENTAMYCINE sioni Uchungu wa Kutolewa kwa Kufungwa Jana bali nimefurahi kwa Wachezaji wa Simba SC kwa Kupambana Kiume na Kufa Kishujaa

Halafu kumbukeni Penati duniani kote huwa hazina Mwenyewe. Kapombe na Chama bado ni Mashujaa wetu na tuwaheshimu mno.
 
penati haina bingwa
 
Cc. Robert Baggio
Cc. David Trezeguate
 
Sawa
IMG_20230429_070414.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Penalties zina mwenyewe na mwenyewe jana ni Wydad nyinyi makolo nendeni mkalale pema peponi
 
We jamaa unatoa thread kama karanga huku ni kuchanganyikiwa au? Hebu kitulize kwanza unaelekea kuanza kutoa pumba sasa
 
Hakuna kufa kiume, simba inabidi tujue kucheza game ya nyumbani, kutumia nafasi hawa kenge hapa nyumbani walikuwa wafe 3, tukacheza mdako, tukaridhika na kimoja, tumeenda kule wachezaji hawajiamini, ni INONGA pekee alicheza kwa utulivu, wengine woote kina mzamiru utulivu sifuri..
 
Kwangu Mimi GENTAMYCINE sioni Uchungu wa Kutolewa kwa Kufungwa Jana bali nimefurahi kwa Wachezaji wa Simba SC kwa Kupambana Kiume na Kufa Kishujaa

Halafu kumbukeni Penati duniani kote huwa hazina Mwenyewe. Kapombe na Chama bado ni Mashujaa wetu na tuwaheshimu mno.
Ni kweli, sasa tuelekeze nguvu zetu kwa wananchi maana ndo wawakilishi pekee waliobaki kimataifa #maendeleo hayana timu.
 
Kwangu Mimi GENTAMYCINE sioni Uchungu wa Kutolewa kwa Kufungwa Jana bali nimefurahi kwa Wachezaji wa Simba SC kwa Kupambana Kiume na Kufa Kishujaa

Halafu kumbukeni Penati duniani kote huwa hazina Mwenyewe. Kapombe na Chama bado ni Mashujaa wetu na tuwaheshimu mno.
Hamna kitu mbona kila siku nyie , lini mtapita kwa penati
 
Hakuna kufa kiume, simba inabidi tujue kucheza game ya nyumbani, kutumia nafasi hawa kenge hapa nyumbani walikuwa wafe 3, tukacheza mdako, tukaridhika na kimoja, tumeenda kule wachezaji hawajiamini, ni INONGA pekee alicheza kwa utulivu, wengine woote kina mzamiru utulivu sifuri..
Wao pia walikua home wangetufunga zaidi ya moja. Tusingefikà huko kwenye bahati nasibu(penalt). Ndio maana tunasema simba katoka kiume. Usisahahau kua Hawa jamaa ndio mabingwa watetezi. Na hii ni ligi ya mabingwa..sio shirikisho
 
Huo ndo ukweli...
Cha kushangaza yanayoumia ni ma uto
Walitaka tuandamane tumfukuze kocha wachezaji na tumpige mawe pep mnene
Hawaamini macho yaoooo
 
Back
Top Bottom