GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
penati haina bingwaKwangu Mimi GENTAMYCINE sioni Uchungu wa Kutolewa kwa Kufungwa Jana bali nimefurahi kwa Wachezaji wa Simba SC kwa Kupambana Kiume na Kufa Kishujaa
Halafu kumbukeni Penati duniani kote huwa hazina Mwenyewe. Kapombe na Chama bado ni Mashujaa wetu na tuwaheshimu mno.
Cc. Robert BaggioKwangu Mimi GENTAMYCINE sioni Uchungu wa Kutolewa kwa Kufungwa Jana bali nimefurahi kwa Wachezaji wa Simba SC kwa Kupambana Kiume na Kufa Kishujaa
Halafu kumbukeni Penati duniani kote huwa hazina Mwenyewe. Kapombe na Chama bado ni Mashujaa wetu na tuwaheshimu mno.
Ni kweli, sasa tuelekeze nguvu zetu kwa wananchi maana ndo wawakilishi pekee waliobaki kimataifa #maendeleo hayana timu.Kwangu Mimi GENTAMYCINE sioni Uchungu wa Kutolewa kwa Kufungwa Jana bali nimefurahi kwa Wachezaji wa Simba SC kwa Kupambana Kiume na Kufa Kishujaa
Halafu kumbukeni Penati duniani kote huwa hazina Mwenyewe. Kapombe na Chama bado ni Mashujaa wetu na tuwaheshimu mno.
AmeenKwangu Mimi GENTAMYCINE sioni Uchungu wa Kutolewa kwa Kufungwa Jana bali nimefurahi kwa Wachezaji wa Simba SC kwa Kupambana Kiume na Kufa Kishujaa
Halafu kumbukeni Penati duniani kote huwa hazina Mwenyewe. Kapombe na Chama bado ni Mashujaa wetu na tuwaheshimu mno.
Hamna kitu mbona kila siku nyie , lini mtapita kwa penatiKwangu Mimi GENTAMYCINE sioni Uchungu wa Kutolewa kwa Kufungwa Jana bali nimefurahi kwa Wachezaji wa Simba SC kwa Kupambana Kiume na Kufa Kishujaa
Halafu kumbukeni Penati duniani kote huwa hazina Mwenyewe. Kapombe na Chama bado ni Mashujaa wetu na tuwaheshimu mno.
Wao pia walikua home wangetufunga zaidi ya moja. Tusingefikà huko kwenye bahati nasibu(penalt). Ndio maana tunasema simba katoka kiume. Usisahahau kua Hawa jamaa ndio mabingwa watetezi. Na hii ni ligi ya mabingwa..sio shirikishoHakuna kufa kiume, simba inabidi tujue kucheza game ya nyumbani, kutumia nafasi hawa kenge hapa nyumbani walikuwa wafe 3, tukacheza mdako, tukaridhika na kimoja, tumeenda kule wachezaji hawajiamini, ni INONGA pekee alicheza kwa utulivu, wengine woote kina mzamiru utulivu sifuri..
ZicoCc. Robert Baggio
Cc. David Trezeguate
Pumbavu.We jamaa unatoa thread kama karanga huku ni kuchanganyikiwa au? Hebu kitulize kwanza unaelekea kuanza kutoa pumba sasa