Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,774
- 13,566
- Thread starter
- #21
๐๐๐๐๐๐Kuna pisi moja nilikuwa naipenda sana ilibidi niiache kisa mishe kama hizo hizo
Anakuja ghetto halafu mzigo mgumu kutoa, japo alikuwa ananipenda sana pia
Popote ulipo J siku ukija kubadilika tutapasha kiporo ๐