King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Achana na mapenzi, kunywa bia. Asikuambie mtu bia tamu, muulize mzee hapa 🤣👇
View attachment 1973423
Kisauji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na mapenzi, kunywa bia. Asikuambie mtu bia tamu, muulize mzee hapa 🤣👇
View attachment 1973423
Yaani aisee, kiuhalisia wabongo tunachezea sana muda katika maisha yetu!Jamaa sijui anapata wapi muda wa kucheza magemu?
Huenda umri unaruhusu.....
Nilidhani niko peke yangu niliyeboreka. [emoji1][emoji1]mxiiii kutuchosha tu na maelezo mengi.
Hili ndiyo jibu sahihi, hela ndiyo dawa ya matatizo yote kwenye mapenzi.Huna hela, tafuta hela uone maajabu yake!
Huyo anayebana miguu ataichanua yote, tafuta hela mkuu[emoji848]
HuJaKuTana na mwanamke non romantic wewe, ipo siku yatakukuta tu.Sijisifii naongea humbly lakini nikiingia na mwanamke ndani asiponiambia nimuingizie mashine sifanyi hivyo mpaka awe submissive aonyeshe anataka. Kabla ya hapo ni maandalizi ya kuipandisha sexual energy yake.
Mwanamke ameumbwa tofauti na mwanaume, mwanaume sexual energy kwa kawaida ipo juu mno. Thats why hata ukikutana na mwanamke unamtamani at first sight, lakini wanawake energy yao inahitaji activation. Ndiyo maana wanaume wengi tunashindwa kuwapagawisha wanawake kitandani. Na kesi za kusalitiana kuongezeka. Mwanamke usipoactivate hisia zake ataona kama unampotezea muda tu.