Sina hamu na mahusiano (wamenikata stimu)

Umenena boss

Lakini duuuu acha nitulie kwanza labda ipo siku nitapata fundi wa moyo wangu tu
Ukitaka hao tafuta wanawake waliozaa watoto nzao kama 3 na kuendelea wewe unasaka vibinti ndo vilivyo hivyo

Vinapenda wanaume wenye Fujo na joki zote hapo ndiyo vinakuwa vimefik

Mwenzangu na Mie utagugumia Hadi uote upala
 
Ukitaka hao tafuta wanawake waliozaa watoto nzao kama 3 na kuendelea wewe unasaka vibinti ndo vilivyo hivyo

Vinapenda wanaume wenye Fujo na joki zote hapo ndiyo vinakuwa vimefik

Mwenzangu na Mie utagugumia Hadi uote upala
Unapajua Nkolandoto hospital ?
 
Kifupi nimepigwa matukio mengi sanaaaa mengine ukiyasikia utashangaa hata wewe, nimekutana hadi na demu ambae na yeye ana demu wake yani..
Msagaji mshenzi sana Yule.

Unakoenda sio kuzuri. Kijana nenda kwa gwajima ukaombewe.
 
Utakuta huyohuyo demu kuna fala mwingine anampa kila kitu yani vyoote.

Kuna uzi humu unasema hakuna mahusiano bila sex lakini kuna wadau wamebisha eti sex ni kitu cha ziada!?
Inakuaga hivi kabisa, jamaa alikua anabaniwa ila kuna msela alikuwa anapelekewa free na anapiga styles zote bila limit.

Hii jinsia ya ke ni ngumu sana kuielewa.
 
Ikigoma unaipaka mate au sputum! Alaf bora wew unapew mm napanda mnazi n mkono mmoja alafu sikompleini wal nn
 
Naonaga kama mtu mzima kumbe mpuuzi mmoja tu......

Bora usiwe unaandika tu huna kitu kichwani

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
 
Ukiweza achana na mapenzi fanya mambo mengine.
 
Achana na mapenzi, kunywa bia. Asikuambie mtu bia tamu, muulize mzee hapa πŸ€£πŸ‘‡
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…